Tanzania Premier League (TPL) Simba VS Coastal Union....Uhuru Stadium ( Shamba la Bibi)

coastal union wakiuza mechi kwa simba mnyama kuna katimu pia kanatoka pale jangwan kaliuza mechi kwa lipuli juzi..
 
Kuacha ni ngumu, hasa kipindi hiki cha mitandao, fanya self control, ya kuchukulia kawaida.

Na majukwaa ya michezo unaachana nayo, mimi huwa naumia kidogo sana, ila hainichukulii muda hasa tukiwa tunafungwa.

Siku hizi hata status za WhatsApp sihangaiki kuangalia manake lazima ziboe kama nimefungwa

Hebu nijitahidi
 
Ukiangalia unachukulia easy, hivi unajua tunaoumia ni sisi washabiki, wachezaji mishahara yao inabaki pale pale, tena ndiyo kwanza wanaenda club kujipoza machungu.

Unatakiwa kuwa na ushabiki moderate, hizi timu sisi siyo shareholders, ni watu baki tu.

Ukiona mtu kapost kitu unakipuuza tu, ndiyo maana mfano mimi watu wanapoiponda timu nayoshabikia siwajibu, isipokuwa ule utani wa kistaarabu.
 
Ndio hiko kinanifanya niachane na haya mambo...inaonekana wachezaji kama hawako serious na uchezaji wao
Ni kama wanacheza ili game iishe ila sio kupata ushindi
 
Muhimu sana kwa afya, ukiwaendekeza unaumia bure.

Unajifunza tu kuwa-ignore wakifungwa, unapunguza kujiumiza kwa vitu ambavyo siyo kosa lako.
 
Hongera simba chama KUBWA ,sembo umepotea sana ,chama linaenda kubeba ubingwa tena
 
Back
Top Bottom