Tanzania Premier League (TPL) Simba VS Coastal Union....Uhuru Stadium ( Shamba la Bibi)

Tanzania Premier League (TPL) Simba VS Coastal Union....Uhuru Stadium ( Shamba la Bibi)

61' Coastal wanafanya mabadiliko
Bakari Mtiku IN
Ibrahim Ame OUT
 
65' Simba wanafanya mabadiliko
Rashid Juma IN
Hassan Dilunga HD

Simba 3-1 Coastal Union
 
Serikali fukuza viongozi wote wa TFF. . Ligi gani ya ovyo ovyo. . Haina mdhamini. . Viporo mpaka vya miezi kwenye fridge. . Tukitoka AFCON na furushi la magoli wekeni shinikizo watoke wenyewe au wafanyjwe zengwe uwanja ulijaa mechi na Uganda na nje watu wanatiketi . ni uhujumu uchumi
Ukisikia matumizi mabovu ya ubongo.. ndo haya!! Mechi ya walume hawa inahusika vipi na malalamiko hayo ?
 
69' Gooooooooooooal Kagere anaipatia Simba goli la 4 amepasia wavu kwa kuruka free header
 
77' Simba wanafanya mabadiliko
Ndemla OUT
Mo Ibrahim IN
 
Back
Top Bottom