Ukisikia matumizi mabovu ya ubongo.. ndo haya!! Mechi ya walume hawa inahusika vipi na malalamiko hayo ?Serikali fukuza viongozi wote wa TFF. . Ligi gani ya ovyo ovyo. . Haina mdhamini. . Viporo mpaka vya miezi kwenye fridge. . Tukitoka AFCON na furushi la magoli wekeni shinikizo watoke wenyewe au wafanyjwe zengwe uwanja ulijaa mechi na Uganda na nje watu wanatiketi . ni uhujumu uchumi
Tupe vitu tupe! vitu!!..65' Simba wanafanya mabadiliko
Rashid Juma IN
Hassan Dilunga HD
Simba 3-1 Coastal Union