Don Clericuzio
JF-Expert Member
- Dec 8, 2017
- 16,930
- 40,556
Mkuu, tusiombee haya banah. hao ni ndugu zetu wa damu. tuwaombee mazuri ili siku moja wote tuwe kileleni. 😂
Wamchukue kwanza Manara, maana kashindwa bet ya Barca vs Liverpool.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu, tusiombee haya banah. hao ni ndugu zetu wa damu. tuwaombee mazuri ili siku moja wote tuwe kileleni. 😂
Kama ule waliouvuta yanga kwa lipuli [emoji3][emoji3][emoji3]Nmesema hivo,coastal Itakuwa wamevuta mkwanja mrefu....
Sina tatizo na ushindi huo.. naongelea mfumo.. TPL toka ianzishwe Kuna mwaka walikosa mdhamini Mashabiki maandazi utawajuwa..Ukisikia matumizi mabovu ya ubongo.. ndo haya!! Mechi ya walume hawa inahusika vipi na malalamiko hayo ?
Coastal ni zaidi,maana si kwa goli zote zileKama ule waliouvuta yanga kwa lipuli [emoji3][emoji3][emoji3]
Yanga Zahera anasema tageti ilikuwa ashike 6 au 7... sasa kwa malengo haya ulitaka bingwa awe JKT KANEMBWA..??TFF wamemtengenezea Mikia FC mazingira ya kuchukua ubingwa kitambo na ufungaji bora na korokoro zote ili atambe.
TFF na 8-1 havina uhusiano.Sina tatizo na ushindi huo.. naongelea mfumo.. TPL toka ianzishwe Kuna mwaka walikosa mdhamini Mashabiki maandazi utawajuwa..
45' dakika 2 za nyiongeza kutamatisha kipindi cha kwanza
Serikali fukuza viongozi wote wa TFF. . Ligi gani ya ovyo ovyo. . Haina mdhamini. . Viporo mpaka vya miezi kwenye fridge. . Tukitoka AFCON na furushi la magoli wekeni shinikizo watoke wenyewe au wafanyjwe zengwe uwanja ulijaa mechi na Uganda na nje watu wanatiketi . ni uhujumu uchumi
Kanembwa iko daraja gani?Yanga Zahera anasema tageti ilikuwa ashike 6 au 7... sasa kwa malengo haya ulitaka bingwa awe JKT KANEMBWA..??
So Yanga walivuta kwa lipuli ila kidogo?Coastal ni zaidi,maana si kwa goli zote zile
Inaweza ikawa ndiyo ama siyo....So Yanga walivuta kwa lipuli ila kidogo?
Hahahhaaha haziwezi bwanaHivi hizi raha haziwezi kutusababishia kisukari kweli!
Maana Liverpool jana, leo Simba, juzi ile Lipuli.
Historia kujirudiaLigi kuu bara inaendelea leo kwa timu ya Simba na Coastal Union zitakutana katika mzunguko wa pili, ikumbukwe Simba ikishinda leo moja kwa moja wanaenda kuongoza ligi na kupata nafasi nzuri ya kutetea taji lao walilolichukua msimu uliyopita.
LINES UP
SIMBA SC
Manula, Gyan, M. Hussein, Mlipili, Nyoni, Mkude, Chama, Ndemla, Okwi, R, Juma, Kagere.
SUBS.... Munish, Kotei, Mzamiru, Dilunga 'HD', Mo Ibrahim, Salamba, Bocco
......................................................................
HALF TIME: Simba 2-1 Coastal Union
.......................................................................
FULL TIME: Simba 8-1 Coastal Union
goli za Simba zimefungwa na
Okwi goli 3
Kagere goli 3
Hassan Dilung 1
Chota Chama 1
kwa sasa Simba Sc wanaongoza ligi kwa points 81 wakiwa wameshuka dimbani mara 31 huku wakiwa na michezo miwili mkononi.
This is Simba brothers and sisters