Shunie
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 154,929
- 459,607
Familia iko poa jirani yangu sijui wwMimi niko poa tu vp familia ki ujumla!?
Nikasema umetekwa nini! ?
Basi bana ndio tushachukua ubingwa! !
Ubingwa kama kawaida
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Familia iko poa jirani yangu sijui wwMimi niko poa tu vp familia ki ujumla!?
Nikasema umetekwa nini! ?
Basi bana ndio tushachukua ubingwa! !
Nipo Dada wa mie, mambo tu yamebana ndipo. Vp lakini uko bukheri?Hahahhah nimekumiss mm mpaka jana nikakuita
Nakumiss pia Dada. Hongereni kwa Ubingwa. 👏👏👏Hahahhahaha majukumu na shem kubana jamani nakumiss
mbeleko fc
Hongera Mtani. 👏👏👏👏
Ila ndio mujitahidi mufikie ubingwa wa 27 kama sisi sababu bado tumewawacha sana.
Eti eeee?Hata Mbuyu ulianza kama Mchicha kwahiyo 27 sio kwamba tutafikia Bali tutazidi Mara mbili ya hizo