Familia iko poa jirani yangu sijui wwMimi niko poa tu vp familia ki ujumla!?
Nikasema umetekwa nini! ?
Basi bana ndio tushachukua ubingwa! !
Nipo Dada wa mie, mambo tu yamebana ndipo. Vp lakini uko bukheri?Hahahhah nimekumiss mm mpaka jana nikakuita
Nakumiss pia Dada. Hongereni kwa Ubingwa. πππHahahhahaha majukumu na shem kubana jamani nakumiss
mbeleko fc
Hongera Mtani. ππππ
Ila ndio mujitahidi mufikie ubingwa wa 27 kama sisi sababu bado tumewawacha sana.
Eti eeee?Hata Mbuyu ulianza kama Mchicha kwahiyo 27 sio kwamba tutafikia Bali tutazidi Mara mbili ya hizo