Snipes JF-Expert Member Joined Jul 2, 2013 Posts 9,165 Reaction score 16,791 May 14, 2019 Thread starter #21 32' Tshishimbi Anapoteza nafasi ya kufunga goli la pili lakini anakuwa amejenga kibanda katika lango la Ruvu Shooting
32' Tshishimbi Anapoteza nafasi ya kufunga goli la pili lakini anakuwa amejenga kibanda katika lango la Ruvu Shooting
Snipes JF-Expert Member Joined Jul 2, 2013 Posts 9,165 Reaction score 16,791 May 14, 2019 Thread starter #22 34' Rafael Daud yupo chini pale anatibiwa uwanjani baada ya kuumia wakiwa wanagombea mpira.
Snipes JF-Expert Member Joined Jul 2, 2013 Posts 9,165 Reaction score 16,791 May 14, 2019 Thread starter #23 36' Shaban Msala anampatia pasi nzuri Emmanuel Martin anapiga shuti kali kutoka nje ya box lakini mpira unaenda nje.
36' Shaban Msala anampatia pasi nzuri Emmanuel Martin anapiga shuti kali kutoka nje ya box lakini mpira unaenda nje.
Snipes JF-Expert Member Joined Jul 2, 2013 Posts 9,165 Reaction score 16,791 May 14, 2019 Thread starter #24 40' Ruvu Shooting 0-1 Young Africans
Snipes JF-Expert Member Joined Jul 2, 2013 Posts 9,165 Reaction score 16,791 May 14, 2019 Thread starter #25 41' Yanga wanapata kona, Abduli Juma anapiga krosi katikati Rashid Juma kipa wa Ruvu Shooting anadaka mpira ule na kupiga haraka haraka mbele kumtafuta Emmanuel Martin.
41' Yanga wanapata kona, Abduli Juma anapiga krosi katikati Rashid Juma kipa wa Ruvu Shooting anadaka mpira ule na kupiga haraka haraka mbele kumtafuta Emmanuel Martin.
Snipes JF-Expert Member Joined Jul 2, 2013 Posts 9,165 Reaction score 16,791 May 14, 2019 Thread starter #26 45' fourth official ameongeza dakika 2
Snipes JF-Expert Member Joined Jul 2, 2013 Posts 9,165 Reaction score 16,791 May 14, 2019 Thread starter #27 46' Abdallah Shaibu anamkwatua Emmanuel Martin refa anapuliza filimbi kumaanisha foul kuelekea lango la Yanga, Shaibu Ninja hajaridhika na maamuzi anazawadiwa kadi ya njano
46' Abdallah Shaibu anamkwatua Emmanuel Martin refa anapuliza filimbi kumaanisha foul kuelekea lango la Yanga, Shaibu Ninja hajaridhika na maamuzi anazawadiwa kadi ya njano
Snipes JF-Expert Member Joined Jul 2, 2013 Posts 9,165 Reaction score 16,791 May 14, 2019 Thread starter #28 47' HALFTIME: Ruvu Shooting 0-1 Yanga
Snipes JF-Expert Member Joined Jul 2, 2013 Posts 9,165 Reaction score 16,791 May 14, 2019 Thread starter #29 46' kipindi cha pili kimeanza
Snipes JF-Expert Member Joined Jul 2, 2013 Posts 9,165 Reaction score 16,791 May 14, 2019 Thread starter #30 51' Mabadiliko kwa timu ya Ruvu, anatoka Zuberi Daby, anaingia Hamis Mcha
Kanali G JF-Expert Member Joined Oct 21, 2013 Posts 9,898 Reaction score 14,413 May 14, 2019 #31 Mbeleko fc wanauchungulia huu uzi na kupotea
Snipes JF-Expert Member Joined Jul 2, 2013 Posts 9,165 Reaction score 16,791 May 14, 2019 Thread starter #32 56' Fedhuri Maganga anakosa nafasi nzuri ya kuisawazishia timu yake ya Ruvu Shooting.
100 Likes JF-Expert Member Joined Nov 5, 2018 Posts 2,416 Reaction score 5,165 May 14, 2019 #33 Gide MK said: Mbeleko fc wanauchungulia huu uzi na kupotea Click to expand... Hahaha, hata mkishinda ni kazi bure. Sindikizeni ligi tu.
Gide MK said: Mbeleko fc wanauchungulia huu uzi na kupotea Click to expand... Hahaha, hata mkishinda ni kazi bure. Sindikizeni ligi tu.
Snipes JF-Expert Member Joined Jul 2, 2013 Posts 9,165 Reaction score 16,791 May 14, 2019 Thread starter #34 57' mabadiliko kwa timu ya Yanga, Juma Abdul Jaffari anatoka, Ibrahim Ajib Migomba anaingia.
Ulimakafu JF-Expert Member Joined Mar 18, 2011 Posts 31,248 Reaction score 13,244 May 14, 2019 #35 Yangaaaaa....
Snipes JF-Expert Member Joined Jul 2, 2013 Posts 9,165 Reaction score 16,791 May 14, 2019 Thread starter #36 60' Ruvu Shooting 0-1 Yanga
Ulimakafu JF-Expert Member Joined Mar 18, 2011 Posts 31,248 Reaction score 13,244 May 14, 2019 #37 Gide MK said: Mbeleko fc wanauchungulia huu uzi na kupotea Click to expand... Yaani ni sheeder.
Ulimakafu JF-Expert Member Joined Mar 18, 2011 Posts 31,248 Reaction score 13,244 May 14, 2019 #38 100 Likes said: Hahaha, hata mkishinda ni kazi bure. Sindikizeni ligi tu. Click to expand... Manunuzi FC kazini.
100 Likes said: Hahaha, hata mkishinda ni kazi bure. Sindikizeni ligi tu. Click to expand... Manunuzi FC kazini.
Snipes JF-Expert Member Joined Jul 2, 2013 Posts 9,165 Reaction score 16,791 May 14, 2019 Thread starter #39 63' Ruvu Shooting wanapata kona baada ya kufanya shambulizi la hatari, mpiga ni Hamis Mcha
Mtoto halali na hela JF-Expert Member Joined Aug 10, 2012 Posts 52,160 Reaction score 48,974 May 14, 2019 #40 Ulimakafu said: Yangaaaaa.... Click to expand... Imefanyaje