Tanzania Premier Leaguer (TPL).... Ruvu Shooting wakiwakaribisha Young Africans uwanja wa Uhuru, Dar es salaam

Tanzania Premier Leaguer (TPL).... Ruvu Shooting wakiwakaribisha Young Africans uwanja wa Uhuru, Dar es salaam

32' Tshishimbi Anapoteza nafasi ya kufunga goli la pili lakini anakuwa amejenga kibanda katika lango la Ruvu Shooting
 
34' Rafael Daud yupo chini pale anatibiwa uwanjani baada ya kuumia wakiwa wanagombea mpira.
 
36' Shaban Msala anampatia pasi nzuri Emmanuel Martin anapiga shuti kali kutoka nje ya box lakini mpira unaenda nje.
 
40' Ruvu Shooting 0-1 Young Africans
 
41' Yanga wanapata kona, Abduli Juma anapiga krosi katikati Rashid Juma kipa wa Ruvu Shooting anadaka mpira ule na kupiga haraka haraka mbele kumtafuta Emmanuel Martin.
 
45' fourth official ameongeza dakika 2
 
46' Abdallah Shaibu anamkwatua Emmanuel Martin refa anapuliza filimbi kumaanisha foul kuelekea lango la Yanga, Shaibu Ninja hajaridhika na maamuzi anazawadiwa kadi ya njano
 
46' kipindi cha pili kimeanza
 
51' Mabadiliko kwa timu ya Ruvu, anatoka Zuberi Daby, anaingia Hamis Mcha
 
56' Fedhuri Maganga anakosa nafasi nzuri ya kuisawazishia timu yake ya Ruvu Shooting.
 
57' mabadiliko kwa timu ya Yanga, Juma Abdul Jaffari anatoka, Ibrahim Ajib Migomba anaingia.
 
60' Ruvu Shooting 0-1 Yanga
 
63' Ruvu Shooting wanapata kona baada ya kufanya shambulizi la hatari, mpiga ni Hamis Mcha
 
Back
Top Bottom