Tanzania Premier Leaguer (TPL).... Ruvu Shooting wakiwakaribisha Young Africans uwanja wa Uhuru, Dar es salaam

97' Naaaam mpira umekwishi,

goli la dk ya 15 la Tshishimbi linaipatia timu Yanga pointi tatu muhimu na moja kwa moja tukishuhudia Yanga ikipanda kileleni mwa ligi kwa pointi 83 huku wakifatiwa na Simba yenye pointi 82.

1. Yanga | mechi 36 | pointi 83
2. Simba | Mechi 33 | pointi 82

Tukutane siku nyingine panapo majaaliwa.

Asalam Aleyqum
 


Nimekupa kwa uzuri sana
 
Point 7 tu tubebe mwali wetu.. wanatuchelewesha tu hawa
 
Dunia nzima mwezi wa mwisho kumalizika ligi timu zote zinakuwa zimecheza mechi Sawa au moja zaidi. . Msomali Kuna kitu anakitafuta
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…