Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndio kiwango chenu kilipoishia hapoLakini hili La Kushinda Jioni Simba Wanatukosea Mashabiki
Milion 20 ziikuwa ni picha ya samaki, io ya kuitegemea waati una njaa
Augistine Okrah apewe muda wa kutosha...ni mtu kwel
Game hazifanani mkuu, ukiona hivyo ujue hali haikuwa nyepesi, hawa jamaa siku hizi wanaahidiwa mapesa wakiifunga/draw na Simba ndio maana wakaza sanaLakini hili La Kushinda Jioni Simba Wanatukosea Mashabiki
Tuliza huo mwiko huko nyuma....topoloHii Timu Inasikitisha Sana Namna Wanavyopata Matokeo ….Wanateseka Sana [emoji28]
Jamaa ana kipaji na experienceAugistine Okrah apewe muda wa kutosha...ni mtu kwel
Makolo wataongea wiki nzimaaHao ndio level zenu makolo lazima uione tough game