Tuliza huo mwiko huko nyuma....topolo
Azam hata iweje huwa tunapiga hadi nneKWA MPIRA HUU MAKOLO MKIJA CHEZA NA AZAM MTAKUJA POTEANA HUMU NDANI
Azam nzuri kabisa ya akina Razak Abarola tulipiga nneMnasikitisha Sana Hivi Mkicheza Na Azam Hii Ya Sasa Itakuwaje?? [emoji23][emoji23]
Nenda wewe ukacheze au toa ufadhili wakasajili wachezaji toka Ulaya.Ila Simba tujitafakari sana, hawa wakufunzi, wachezaji, menejimentj hawafai
Zoea msoto ili ushinde kirahisi, ka nishati ya jua inavyorahisisha photosynthesisHii Timu Inasikitisha Sana Namna Wanavyopata Matokeo ….Wanateseka Sana [emoji28]
Mmeanza midomoo 🤠🤠Weeeeeeeeweeeeeee hii ndo Simba mwaka huu afe beki afe kipaaaaa
Goal difference si ni sawa sasa anakuwaje simba yupo chini au wanaangalia magoli ya kufungaLabda kilele cha maghorofa ya nssfView attachment 2356843
LabdaGoal difference si ni sawa sasa anakuwaje simba yupo chini au wanaangalia magoli ya kufunga
Sawa tu. Kwa tofauti ya kagoli kamojaLabda kilele cha maghorofa ya nssfView attachment 2356843
Yani nilikua nachungulia kila mara humu maana sipo kideoni huku naomba Mungu mweeeMmeanza midomoo 🤠🤠
🤠🤠🤠🤠 Makolo mpo kama mizimu, kwenye hali mmbaya mnajificha, hali ikiwa shwari hatujui hata mnapofufukia..Nakuona nakuona National Anthem unakula tuu ubuyuuuuu hahhahah
Haya Hongereni, unywe maji sasa 🤠🤠🤠 ushindi wenyewe mmeupata kwa maombiYani nilikua nachungulia kila mara humu maana sipo kideoni huku naomba Mungu mweee
Yani hayo si mambo yetuu unakumbuka uzi wenu wa jana mlikua hampo hata mmoja baada ya kufunga kale kabao ka kwanza mkavamia kama ng'ombe wa mayele🤠🤠🤠🤠 Makolo mpo kama mizimu, kwenye hali mmbaya mnajificha, hali ikiwa shwari hatujui hata mnapofufukia..
Ni kwa mombi kila kitu uchawi tumeaachia nyinyoHaya Hongereni, unywe maji sasa 🤠🤠🤠 ushindi wenyewe mmeupata kwa maombi
Kilele kipi?Back to Kileleni + clean sheet