Tanzania Prisons 0-1 Simba | Ligi Kuu Bara | Uwanja wa Sokoine | 14/09/2022

KWA MPIRA HUU MAKOLO MKIJA CHEZA NA AZAM MTAKUJA POTEANA HUMU NDANI
Azam kwetu ni kibonde tu, focus yetu ni kushinda mechi za mkoani na kama ikitokea imeshindikana basi tutoe sare

Huyo Azam alikuwa ameimaliza ile mechi, basi tu mwamuzi alikuwa upande wenu
 
Hao wamekua tishio kwao kila siku wana ref Azam aiseee wakati unaenda kasi maana walipekewa moto mpk wakababuka sisi sio kama wao Azam asubuiii anaenda kula aiskrimu na mandazi yao
 
Kila mtu na kibonde wake kama nyie kwetu
 
Hao wamekua tishio kwao kila siku wana ref Azam aiseee wakati unaenda kasi maana walipekewa moto mpk wakababuka sisi sio kama wao Azam asubuiii anaenda kula aiskrimu na mandazi yao
Azam hajawahi kuwa threat kwetu hata wamsajili messi na mbappe bado watachapika tu, wakijitahidi sana wanapata sare
 
Ndio raha ya kuoa, huchaguliwi pakumtindulia mkeo, hata akiwa kwao ruksa na chumba unapewa..

Tena yule kaka yakke mnokoo ndio anaweza kuwapisha chumbani kwwa kisingizo cha kulala kumbe wanajua kabisa unatindua binti yao 😂🤣😂🤣🤣🤣
 
NAANGALIA UCHAMBUZI HAPA KUMBE KIBU MPIRA KAUPIGIA NJE BWANA MAKOLO MMESHINDA MGOLI WA MCHONGO
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…