Vice versa is true"Hawaamini macho yaoi"
Nenda kwenye group la ukoo wenu ukachat na unao wataka tutolee kisirani hapaHaitatokea hata siku moja niende kuufungua Uzi wa Live wa Yanga sembuse kuchangia...nawashangaa hawa waliojaa humu hadi Uzi wetu unataka kutoa harufu ya kinyesi.
Usisahau Vunjabei yupo hapo PrisonGSM kupitia kampuni yenu tanzu ya Silent Ocean mnaanza kuzihonga timu zinazocheza na SIMBA ili watoe draw au waifunge simba
Wafanye hivyo hivyo.GSM kupitia kampuni yenu tanzu ya Silent Ocean mnaanza kuzihonga timu zinazocheza na SIMBA ili watoe draw au waifunge simba
Mwamba huyu hapaMwenye picha ya Benjamin asukile tunaomba atuwekee hapa
We FALA kweliNenda kwenye group la ukoo wenu ukachat na unao wataka tutolee kisirani hapa
ndio kazi yako hio ya ufala?We FALA kweli
YupoMthungu hata sub hayupo au kachukuliwa na mjomba wake.
hakika umesema.Hivi viwanja vya mikoani vinataka wazoefu..ndugu zangu acheni kulaumu sana..Scars na Okwibobansu tunawategemea kwa hamasa kuliko lawama..tafadhali.
Mikia fc🦁,Wana Lunyasi 🚶Timu yeye viwango vya CAF inarudi uwanjani kusaka alama tatu muhimu
Kila la heri Mnyama Mkali Mwituni
Mna tambo za kiwaki sanaKanoute ataukosa mchezo wa leo kutokana na kuwa na Kadi tatu za Njano.
Huku beki wa dimba la kati, Bendera Chuma, Mlingoti Chuma Onyango na Kapombe wakirejea kikosini.