Tanzania Prisons 0-1 Simba | Ligi Kuu Bara | Uwanja wa Sokoine | 14/09/2022

Tanzania Prisons 0-1 Simba | Ligi Kuu Bara | Uwanja wa Sokoine | 14/09/2022

Kikosi cha Tanzania Prisons kinachoanza dhidi ya Simba SC
Screenshot_20220914-154848~4.jpg
 
Haitatokea hata siku moja niende kuufungua Uzi wa Live wa Yanga sembuse kuchangia...nawashangaa hawa waliojaa humu hadi Uzi wetu unataka kutoa harufu ya kinyesi.
Nenda kwenye group la ukoo wenu ukachat na unao wataka tutolee kisirani hapa
 
Hivi viwanja vya mikoani vinataka wazoefu..ndugu zangu acheni kulaumu sana..Scars na Okwibobansu tunawategemea kwa hamasa kuliko lawama..tafadhali.
hakika umesema.
 
Back
Top Bottom