Tanzania Prisons 0-1 Simba | Ligi Kuu Bara | Uwanja wa Sokoine | 14/09/2022

Nyie utopolo naona mnataka matusi humu watu wakivurugwa mjiandae naona hali si nzuri hahahahahahaahah
 
Kwa kweli kwa Simba hii Wana Simba tujiandae tu kisaikolojia.....sioni morali ya timu....sioni Ari ya timu......sioni kujituma kwa wchezaji...... wachezaji hasa wazawa wamezoea kucheza Simba.... hawaoni thamani ya klabu.....mtu kama Muzamiru na Mkude walitakiwa kuachwa zamani sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…