Kalpana
JF-Expert Member
- Jun 16, 2017
- 32,603
- 62,269
Usinchekeshe basi. Hivi tunawazidi nyie kwa vinyamkera hahahahhMmeisha mroga maana makolo kwa kutupiana majini hamjambo 🤠ðŸ¤
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Usinchekeshe basi. Hivi tunawazidi nyie kwa vinyamkera hahahahhMmeisha mroga maana makolo kwa kutupiana majini hamjambo 🤠ðŸ¤
Uliangalia mpira wa jana au unaongea tu?Kumfananisha Mayale na huyu Moze ni matusi, Mayele hawezi kosa goli kizembe vile
Mimi kocha wa mdomo tuu hapaKuwa wewe kocha basi🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Mbona lawama mabingwa wa mapinduzi?Wachawi sio lazima wawange usiku hata mchana wanawanga balaaa jukwaa limevamiwa na wachawi
Prisons afe tu, hakuna namna...Huu uwanja ni shida.
🤠🤠🤠Nyie mmeshikwa mala nyingi uchawi kuliko sie, nyie ni ma senior sio ma junior na tulijifunza kwenuUsinchekeshe basi. Hivi tunawazidi nyie kwa vinyamkera hahahahh
Unataka kusemaje?Uliangalia mpira wa jana au unaongea tu?
AaameeenMungu Ibariki Prisons.... Wawafunge Kolo Wizard miaka mitatu.
Ameen
Yani nyie mmekuja kuwa zaidi ya mwalimu wenu maana mmemchukua mchawi kabisa ndo mpo nae sasa sisi tena kuwezaa🤠🤠🤠Nyie mmeshikwa mala nyingi uchawi kuliko sie, nyie ni ma senior sio ma junior na tulijifunza kwenu
Kwa mpira gani mlonao utopolo? Yani kwa sasa Simba inawadharau bora hata kmc wana mpira mzuri kuliko nyieKwa uchezaji huu october ndio ucheze hivi na mwananchi ?
Kipigo kitakatifu kitawahusu makolo
Ila leo mjiandae kufukuza kocha, mnachpwa mapemaa tuuu 😂😂😂Yani nyie mmekuja kuwa zaidi ya mwalimu wenu maana mmemchukua mchawi kabisa ndo mpo nae sasa sisi tena kuwezaa
Nataka kusema kama kile ulichokiandikaUnataka kusemaje?