Hii sio timu ya wana mbeya,timu ya wana mbeya ni Mbeya City FC,hii ni timu ya jeshi la magereza.Hao ni wale waliombiwa wawapige matekeMkuu wana mbeya tupo kibao humu tuache utumwa wa simba na yanga mi ni shabik wa hii timu toka 1994 tutafikisha tu
Kaa kimya ufiche upumbavu wako.Acha uongo prisons ni timu ya mbeya na wanambeya siasa za magufuli usiingize ktk michezo mkuu
Ushamba wenu tu,timu ya jeshi haiwezi kua timu ya raia.Wewe ndo mjinga mbeya city kaja lini huko mbeya kaisi kwamba prison ikawa haina mashabiki tuondelee ujinga wako hapa au sokoine miaka 1999 walikuwa wana ijaza maafande?
Zote ni timu za viwanda vya sukari Moro na Kagera.kwani mtibwa sugar ni ya nani? au kagera sugar ni ya nani? au azam.
Zote ni timu za viwanda vya sukari Moro na Kagera.