Tanzania Prisons Fc special thread

Tanzania Prisons Fc special thread

Mkafungwa ngapi na mtibwa sugar?
Tarehe 11/3/2018 Tanzania prison 2 mtibwa sugar 1
Wajelajela sio wa mchezo tuliyumba kidogo kwa sasa tumerudi mkuu mkae chonjo
 
Mkuu wana mbeya tupo kibao humu tuache utumwa wa simba na yanga mi ni shabik wa hii timu toka 1994 tutafikisha tu
Hii sio timu ya wana mbeya,timu ya wana mbeya ni Mbeya City FC,hii ni timu ya jeshi la magereza.Hao ni wale waliombiwa wawapige mateke
 
Hii sio timu ya wana mbeya,timu ya wana mbeya ni Mbeya City FC,hii ni timu ya jeshi la magereza.Hao ni wale waliombiwa wawapige mateke
Acha uongo prisons ni timu ya mbeya na wanambeya siasa za magufuli usiingize ktk michezo mkuu
 
Kaa kimya ufiche ujinga wako.
Wewe ndo mjinga mbeya city kaja lini huko mbeya kaisi kwamba prison ikawa haina mashabiki tuondelee ujinga wako hapa au sokoine miaka 1999 walikuwa wana ijaza maafande?
 
Wewe ndo mjinga mbeya city kaja lini huko mbeya kaisi kwamba prison ikawa haina mashabiki tuondelee ujinga wako hapa au sokoine miaka 1999 walikuwa wana ijaza maafande?
Ushamba wenu tu,timu ya jeshi haiwezi kua timu ya raia.
 
kwani mtibwa sugar ni ya nani? au kagera sugar ni ya nani? au azam.
 
Back
Top Bottom