Tanzania Prisons Fc special thread

Tanzania Prisons Fc special thread

radika

JF-Expert Member
Joined
Jul 15, 2014
Posts
20,440
Reaction score
32,260
Prisons FC is a Tanzanian football club owned by the Tanzania Prisons Service based in Mbeya. Their home games are played at Sokoine Stadium.


Prisons FC

Full name Prisons Football Club Ground Sokoine Stadium
Mbeya, Tanzania Capacity10,000

Chairman Dr S A Chambusu.

LeagueTanzanian Premier League2006 5th


Achievements:

Tanzanian Premier League: 1-1999

Performance in CAF competitions

CAF Champions League: 1 appUearance2000 – Preliminary Round

CAF Confederation Cup: 2 appearances2005 – Preliminary Round2009 – Preliminary Round.
 

Attachments

  • Prisons_FC.jpg
    Prisons_FC.jpg
    6.7 KB · Views: 34
Jamani wana mbeya timu yetu hiyo
 
Hii thread ikifikisha replies 100 kwa miaka 2 naacha jf
 
Hii thread ikifikisha replies 100 kwa miaka 2 naacha jf
Mkuu wana mbeya tupo kibao humu tuache utumwa wa simba na yanga mi ni shabik wa hii timu toka 1994 tutafikisha tu
 
Prison inatoa kila mchezaji kutoka makambi yao?

Hawanunua mchezaji kama siyo askari au mwanajeshi?
 
sawa mkuu ila si ndo hiyo ilishuka daraja msimu ulopita kama sikosei??
Ndio mkuu tulirud msimu ulioisha tulifanya vizuri sana bila kusahau tulimfumua yanga 2-0 mechi ya mwisho sokoine.
 
mnaweza mkawa mmeshiriki sana lakini kwenye mafanikio ikawa zero mkuu
ngoja tu mcmu huu ndanda tutawanyoosha sana
Ndada mwez wa pili tuliwapiga 1 kule mtwara mechi ikaisha suluhu.
 
Hao akina Morris kwao walikuwa watu wa mpira asee
Henry morris alinikera sana kwenda yanga ukawa mwisho wake alikatazwa sana umri wake ulikuwa bado kwenda yanga
 
Back
Top Bottom