Chizi Maarifa
JF-Expert Member
- Jul 29, 2013
- 10,931
- 24,816
Mmejanga mazoea na Simba mnadhani na Yanga ni kama Simba. Mazoea yenu huko huko msilete kwa Yanga
Mnapolalia nyie siye ndo tulipoamkia. Wala hatuna mchecheto. Kona na njia zenu tunazifahamu. Simba mnawawezea sababu hawajui hiyo michezo.sisi siyo Team ndogo kwa taarifa yenu.
Leo tunawala Futari na Daku. Ndo mtakapojua hii ni team kubwa. Tushajua njia za kupita na tuna wenyeji wengi tu Rukwa. Msidhani sisi wageni.
Leo tunatoa kipigo. Tunatoa nini? Kipigo wazoeeni hao hao Nyau FC Siyo sisi. Mbwa nyie. Kipigo hakikwepeki. Hilo ndo mjue hakikwepeki piga Ua. Mtapigwa nami nasema mpigwe tu.