Chizi Maarifa
JF-Expert Member
- Jul 29, 2013
- 10,931
- 24,816
Tumeshinda hii match. Sisi siyo nyau.Mze matokeo vp
Purizoni 0 - Yanga 1Naomba matokeo
Mbumbumbu katika ubora wakoYule kocha alishasema nyie ni "uneducated". Akaenda mbali zaid na kuwaita MINYANI.
Matokeo yakoje?Nilikua sijui yanga ni mbovu sababu nilikua sifatilii mechi zao, Leo nmeona niwacheki kibanda umiza nimegundua haya
1.Yanga sio mbovu tu ila imejifia kabisa
2.Imepoteza mvuto mno sababu kwa mapengo yale kwa viwanja vya mkoani ni aibu
Atakuwa amepewa bahashaSijawahi kuona penati ya wazi iliyokataliwa kama ile, yule refa lazima achunguzwe
Kashinda Yanga 1Matokeo yakoje?
Atakuwa amepewa bahasha
Penalty ni Ile aliyo nyimwa Yanga dhidi ya Azam.Ile penalty na Red Card kwa lamine kwa huruma angempa njano
Badala ya kuishukuru Yanga kwa kuwafunga wababe wenu, wewe unalia lia tu hapa!Sijawahi kuona penati ya wazi iliyokataliwa kama ile, yule refa lazima achunguzwe
Hawa Prisons tena wakiwa pungufu walimtoa Simba kamasi pale kwa Mkapa, leo ukuja kubana vipua hapa eti, Yanga imekufa.Nilikua sijui yanga ni mbovu sababu nilikua sifatilii mechi zao, Leo nmeona niwacheki kibanda umiza nimegundua haya
1.Yanga sio mbovu tu ila imejifia kabisa
2.Imepoteza mvuto mno sababu kwa mapengo yale kwa viwanja vya mkoani ni aibu
Yani kelele zote hizi ni kuingia robo fainali ya azam cup conf??? DahMmejanga mazoea na Simba mnadhani na Yanga ni kama Simba. Mazoea yenu huko huko msilete kwa Yanga
Mnapolalia nyie siye ndo tulipoamkia. Wala hatuna mchecheto. Kona na njia zenu tunazifahamu. Simba mnawawezea sababu hawajui hiyo michezo.sisi siyo Team ndogo kwa taarifa yenu.
Leo tunawala Futari na Daku. Ndo mtakapojua hii ni team kubwa. Tushajua njia za kupita na tuna wenyeji wengi tu Rukwa. Msidhani sisi wageni.
Leo tunatoa kipigo. Tunatoa nini? Kipigo wazoeeni hao hao Nyau FC Siyo sisi. Mbwa nyie. Kipigo hakikwepeki. Hilo ndo mjue hakikwepeki piga Ua. Mtapigwa nami nasema mpigwe tu.