Klabu ya Tanzania Prisons imefikia makubaliano ya kuvunja mkataba na Kocha Fredy Felix Minziro ambaye amedumu klabuni hapo kwa muda wa miezi minne toka aliposaini Julai 14, 2023.
Minziro ameondoka klabuni hapo akiwa amekisimamia kikosi hicho kwenye michezo tisa ya NBC Premier Legue na kufanikiwa kupata ushindi mmoja, sare nne na kufungwa michezo minne.
Makocha watafukuzwa sana msimu huu maana ligi ngumu
1.Namungo out
2.Ihefu out
3.prison out
4.Coastal out
5.Mtibwa out
6.Simba out
7.Singida out out
Geita yuko tia maji tia maji
Kagera tia maji tia maji
Mashujaa kuti kavu