Kipindi hicho natoa hii post kuna vitu vilikuwa vinaendelea huko. Nasikia sasa hivi wamefunga huo mradi wa Matching Grants. Fika osisini kwao upate uhakika wa kipi kinaendelea. Ofisi zao ziko Mwaya road, Masaki.