Tanzania produces richest man in East Africa, Kenya misses out

Huyu Mo itakuwa pia outsourcing imemsaidia sana,maana sikuhizi kuna wide ranging product za Mo
from all over the world.

Ngoja nimwambia nsumba ntale Bashite tukadai Limousene,na ole wake agome,atarudi singida na kandambili tu
 
9.jpg
 
Lkn bado ni Muhindi siyo Mtanzania mweusi kama mimi au Dangote, binafsi sioni cha kujivunia hapo!
Dhambi ya ubaguzi haiishi, angekuwa mweusi ungedai sio wa kabila lako, akiwa wa kabila lako utasema sio wa ukoo wako, akiwa wa ukoo wako utasema sio wa familia yenu....

Vv
 
Hivi kwa nini migogoro ya Ardhi Tanzania ni zaidi ya Kenya ambapo inadaiwa familia moja tuu inamiliki ardhi yote.
migogoro inaweza kuwepo
kwasababu kila mtanzania anahaki ya kuwa na Ardh
na Ardh ni mali ya Tanzania na Serikali
siyo mali ya mtu au Ukoo fulani
 
Forbes hawa hawaeleweki vigezo vyao hata siku moja na si vya kweli labda kuna hongo maana kiukweli Tanzania haina Matajiri kumzidi Nicolas Biwot, na wengine wa Kenya. Lakini hawa hawa waliwahi kumtoa January kwamba ni kijana mwenye influence Africa
 
Don't beat about the bush- sera mbovu za ardhi CCM ndio tatizo.
 
Forbes hawa hawaeleweki vigezo vyao hata siku moja na si vya kweli labda kuna hongo maana kiukweli Tanzania haina Matajiri kumzidi Nicolas Biwot, na wengine wa Kenya. Lakini hawa hawa waliwahi kumtoa January kwamba ni kijana mwenye influence Africa
Hao wamerankiwa na Venture Africa. Forbes claims it does not rank corrupt guys
 
Nani corrupt kama METL sasa utajiri wa mashamba yetu ya mkonge na viwanda vyake walivipataje hatujui, hawaendelezi wameuza vupuri mashamba ndio hayo wanatumia kama security kusecure mamikopo
 
All these guys are corrupt, but Forbes huavoid the government guys coz wameiba direct from the economy. Thats why hio list utawakosa akina Biwott, Ngina Kenyatta, Moi n.k. Pia Gadaffi was rumoured to have a huge wealth, around 200billion USD, but hangewai rankiwa
 
IMG_0381.JPG

The one and only Mommur Ghadafi
 
All these guys are corrupt, but Forbes huavoid the government guys coz wameiba direct from the economy. Thats why hio list utawakosa akina Biwott, Ngina Kenyatta, Moi n.k. Pia Gadaffi was rumoured to have a huge wealth, around 200billion USD, but hangewai rankiwa
Forbes nao wanazingua tu, kama wana avoid waliopata utajiri kwa kuiibia serikali mbona wamemweka Isabel Dos Santos kwenye list?
 
Wananchi wanakosa Ardhi
wenye pesa walisha jimilikisha!!

Dada huwa naona unang'ang'ana sana kuhusika kwenye mada za Kikenya, nakupa hongera na karibu maana sio wanawake wengi huwa na uwezo wa kuongea kuhusu yaliyo nje ya nchi yao.

Ila ningeomba usiwe unategemea kukaririshwa mambo na wenzako, chukua muda wako kidogo kuskliza vyombo vya habari vya kimataifa kwa mfano kama BBC Swahili vile. Utapata kujua yanayojiri kwenye mataifa ya nje ikiwemo Kenya.

Kama hili ulilokaririshwa kuwa Wakenya hatuna sehemu ya kununua ardhi kisa yote imemilikiwa na watu wachache ni uwongo ambao umerudiwa mara nyingi japo sijajua kwa sababu zipi au ili iweje au nia gani. Vijana wengi Kenya wananunua viwanja kila siku.
Kwanza siku hizi kitu cha kwanza kila kijana anafuata ni kununua ardhi, mengine yanakua ya baadaye.
 
Back
Top Bottom