Tanzania proposes law to bar foreigners from grazing land

Nani alikwambia kwamba hatukusanyi kodi?sisi hatutegemei fine za mifugo kuendesha mchi yetu,tuna madini na rasilimali za kutosha,mbona nchi zingime hazilalamiki Bali ninyi wakenya tu?hii sheria ni ya kulinda maslahi ya nchi yetu,unaposema tumeenda international, kwani tumeitungia nchi za nje,ww huna akili,kwa hiyo TZ ni international grazing land?anyway weka comparison ya deni la Kenya na TZ,ss hatujawahi kukopa deni kulipa deni.nawaambia awamu hii mtalimia meno.
 
ushawahi kusikia kuwa Kenya imesamehewa deni???
ni nchi gani juzi ilidhalilishwa hadharani, mbele ya umati na mkulima kwa kushindwa kulipa deni???
nyinyi hamukopesheki maanake hamuaminiki, kila time munazingua na pia usilinganishe deni la Kenya (Middle Income Country) na deni la Ldc (walala hoi) kwani hautakua umeipa heshima yake nchi ya Kenya.
dAwA ya deni ni kulipa!!! uende juu au urudi chIni hata ikiwezekana, kopa kwengine ili uzibe pengo lakini mwisho wa siku ni kuwa deni limelipwa.
lipeni deni na muziruhusu ndege zenu ziruke popote, kokote.
mambo ya kukomoa wacheni lakini.... sio vizuri aisee.
 
Middle income;
1.Mnakufa njaa
2.mnashindwa kujenga Barabara hat km 1.
3.Mmeshindwa kumaliza ugaidi
Naomba unijibu hili swali,TUNAMKOMOA NANI?
 
Hahahaha, eti atukopesheki, hatuna sababu ya kukopa kila mradi kwasababu tuna uwezo wa kulipa wenyewe, tunaogopa kudhalilishwa kama ninyi mnavyodhalilishwa na wachina, aibu kubwa kutangazia dunia kwamba mtafikisha SGR hadi Malaba, matokeo yake reli imeishia porini.

Ifuatayo ni baadhi ya miradi ambayo tunatekeleza kwa pesa za mkopo
1)Upanuzi wa bandari ya Dar
2)Ujenzi wa Ubungo interchange
3)Ukarabati wa reli ya kati (MGR)
4)Ujenzi wa daraja la baharini (Salender)
5)Juzi tumekopeshwa kwa ajili ya "SGR phase II.

Tunaaminika na kukopeshwa zaidi yenu, lakini tunajitahidi kutumia pesa yetu ili kuepuka kunyanyaswa kama mnavyonyanyasika katika SGR yenu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Na Msalato Airport Dodoma.
 
Kichaa ww

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…