Hahahaha, eti atukopesheki, hatuna sababu ya kukopa kila mradi kwasababu tuna uwezo wa kulipa wenyewe, tunaogopa kudhalilishwa kama ninyi mnavyodhalilishwa na wachina, aibu kubwa kutangazia dunia kwamba mtafikisha SGR hadi Malaba, matokeo yake reli imeishia porini.
Ifuatayo ni baadhi ya miradi ambayo tunatekeleza kwa pesa za mkopo
1)Upanuzi wa bandari ya Dar
2)Ujenzi wa Ubungo interchange
3)Ukarabati wa reli ya kati (MGR)
4)Ujenzi wa daraja la baharini (Salender)
5)Juzi tumekopeshwa kwa ajili ya "SGR phase II.
Tunaaminika na kukopeshwa zaidi yenu, lakini tunajitahidi kutumia pesa yetu ili kuepuka kunyanyaswa kama mnavyonyanyasika katika SGR yenu
Sent using
Jamii Forums mobile app