Tanzania: Public Debt Hits Sh53 Trillion Mark

Elimu ya kenya haiwasaidii kuelimika. Sasa mleta mada anacopy na ku paste vyoooooote. Ina maana Kenya hawafundishwi summarization?
Kenya disappoints EAC, bora wangeungana na Somalia waunde community yao maana wanafanana.
 
Dear waste of space (in every sense of the word) who converses with goats:
Kweli nyani haoni kundule!

Nilasahua.. Tanzania Kusoma na Mahesabu imewashinda

Pole.... DUUUUHHHH peke ndio munaelewa kama Mambuzi
 
Sina muda wa kusoma yoote hayo uliyokopi na kupest. Summarize wakati mwingine
I have translated it for you to a Language all Bongolalas understand....

DDDDDDDuuuuuuuuuhhhhhhhhhhhhhhh DUUUUUUUhhhhhhhhhhhhh Dar Es Salaam... for the audio version

 
I have translated it for you to a Language all Bongolalas understand....

DDDDDDDuuuuuuuuuhhhhhhhhhhhhhhh DUUUUUUUhhhhhhhhhhhhh Dar Es Salaam... for the audio version

Hahaha mnajua lugha ya malkia ila mnalala kwenye fulusuti za mabati wakati malkia mwenyewe hata fulusuti halijui
 
kwanza sio 53 trïllion ni 47.7 trïllion hïyo ni latest news ya jana. Pïa bado tuko vïzuri compared to Kenya
 
Tanzania, wanawake wenu tu ndio mimi nataka, lakini mengine sina haja nayo.
 
kwanza sio 53 trïllion ni 47.7 trïllion hïyo ni latest news ya jana. Pïa bado tuko vïzuri compared to KenyaView attachment 714703

Kabajeti kenu ka 2017/2018 ni trillioni 31.6, nusra nusu ya bajeti ya Kenya halafu deni ndio hilo mumefikia trillion 47 ilhali huwa mnajinadi kwamba kila kitu mnanunua kwa hela zenu, kwamba hamkopi, sasa haya matrilion yaliyozidi kabajeti kenu huwa yanaenda wapi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…