joto la jiwe
JF-Expert Member
- Sep 4, 2017
- 26,117
- 46,617
Deni letu ni 34% ya uchumi wetu, ninyi ni 60% ya uchumi wenu, hapo ndipo penye tatizo, mlishapita kiwango cha juu cha kukopa. Kitu kinachochekesha ni kwamba, mnapanga bajeti kubwa wakati uwezo wa kuzipata hizo pesa haupo, matokeo yake mnakua omba omba kwa wachina, hata kilometer moja ya reli hamuwezi kujenga bila mkopo.