Tanzania: Public Debt Hits Sh53 Trillion Mark

Tanzania: Public Debt Hits Sh53 Trillion Mark

Deni letu ni 34% ya uchumi wetu, ninyi ni 60% ya uchumi wenu, hapo ndipo penye tatizo, mlishapita kiwango cha juu cha kukopa. Kitu kinachochekesha ni kwamba, mnapanga bajeti kubwa wakati uwezo wa kuzipata hizo pesa haupo, matokeo yake mnakua omba omba kwa wachina, hata kilometer moja ya reli hamuwezi kujenga bila mkopo.
 
Kabajeti kenu ka 2017/2018 ni trillioni 31.6, nusra nusu ya bajeti ya Kenya halafu deni ndio hilo mumefikia trillion 47 ilhali huwa mnajinadi kwamba kila kitu mnanunua kwa hela zenu, kwamba hamkopi, sasa haya matrilion yaliyozidi kabajeti kenu huwa yanaenda wapi.
leta ushaidi bajeti yenu ya 2017/2018 ama 2018/2019 ni zaidi ya deni lenu.
 
Kabajeti kenu ka 2017/2018 ni trillioni 31.6, nusra nusu ya bajeti ya Kenya halafu deni ndio hilo mumefikia trillion 47 ilhali huwa mnajinadi kwamba kila kitu mnanunua kwa hela zenu, kwamba hamkopi, sasa haya matrilion yaliyozidi kabajeti kenu huwa yanaenda wapi.
Unafahamu kwanini budget ya kenya Ni kubwa? 45% (KSH 700B) hutumiwa kulipa madeni. Budget ya kenya ya matumizi ya kila mwaka( recurring expenditure) ni 400B, inayo baki 600B inapotea kwa Ufisadi.
https://www.standardmedia.co.ke/bus...k-for-kenyans-next-year-as-debt-payments-soar
 
Hehehe!! Hakuna Mtanzania anayediriki kusoma haya yote, kwanza ni ya Kingereza, wanasoma mstari wa kwanza na kutoweka.

Achilia mbali kuwa yameandikwa kwa kiingereza lakini ni ujinga wa kiwango cha PhD kuweka habari mbili tofauti kwenye uzi mmoja!

Huyu kijana wenu mpelekeni jando kwanza, hana tofauti na wewe kwa ile ID yako ya zamani.
 
Back
Top Bottom