Tanzania: Quotes & Our National Politics!


Nyani, you are projecting your projection of low self esteem through alleging I am projecting my low self esteem through exposing your projection.

It does not need to get complicated, kati ya aliye assertive na anayejidharau nani ana tatizo la low self esteem?
 

Haya bana naproject self esteem yangu....you are better than me, you are smatter than me, you are "cutter" than me, you are richer than me, you smell better than me, and you have it going on more than me......are you happy now Ms. Strawberry Shortcake?
 

Mkandara,

Who hasn't been conquered? The Gauls were conquered, all of Europe at one point or another was conquered, the entire middle eastern civilization was at some point conquered.The Caliphate itself in Baghdad was conquered by a band of a few thousand Mongols under Kublai Khan, so conquest is hardly a point.

The problem is we do not have the appreciation to understand the significance of the juncture during which Africa was conquered , with the Industrial Revolution redefining what it is to be human on the one hand, and advancement in technology and weaponry, sophistication in banking and trade not to mention political power, one must look at everything while acknowledging hindsight.

Sadly, this is laking in the curent analysis, and everybody is looking at these things as if they happenned yesterday.

In any case, any blatant overgeneralization is to be severely shunned by any and all thinking people. I know some of us are not, so I am not surprised at all to see the incidiery comments flying about here from some sorry spineless.

Africa and thw underdevelopment of Africa is a complex subject that scholars, with accounts minding geography, history, climate, flora and fauna etc have not been able to successfully and convincingly nail with a simple meaningless catchphrase, HOW DARE YOU (Nyani and crew) BELITTLE A WHOLE PEOPLE WITH A MEANINGLESS PHRASE?
 
Nyani McCain,
Hakuna haja ya wewe na Pundit kurushiana madongo! nadhani Pundit alikuwa hajautazama msemo huu kwa undani zaidi ya kuwa ni tusi kutokana na neno lililotangulia WAAFRIA- MIAFRIKA.. Ni ukweli unaouma lakini ndivyo tulivyo. Unajua wazungu huwa wanaumwa sana pale Uongo unapozungumzwa wakati sisi waafrika huumia sana pale Ukweli unaposemwa.. Mwngo kwa muafrika ni yule aliyesema ukweli lakini hakutakiwa kusema (ilikuwa siri)..
Hata hivyo kuna kausemi haka kamoja:-
One cannot speak to a man or woman with an empty stomarch about philosophical insights and spiritual growth...( hali halisi ya Wabongo). But to ignore the spiritual dimension in the process of material development is to lose ground in both dimensions of human life..

Tatizo kubwa tulilonalo leo hii sisi Waafrika ni hiyo ignorance..kila mara huwa tunakuja na majibu nje kabisa ya udhaifu wetu..hatupendi kuitwa wavivu, wazembe, wajinga na kadhalika kwani haya ni matusi hata kama kuna ukweli..
 

Cutter, lol
 

Ndivyo tulivyo vipi? Huo msemo haujakamilika kama sentensi za Sarah Palin, hauna akili.

Mwafrika mmoja akiweza kuwa tofauti na wenzake tayari huo msemo unaanguka, the defining characteristic inakuwa siyo uafrika tena, inakuwa kitu kingine. Ndiyo maana nikasema ni vigumu sana ku base matatizo yetu kwenye uafrika, sema kuna ignorants kibao Afrika wanawapigia kura watu wanaowaibia, lakini si waafrika wote wanafanya hivyo kwa hiyo ukisema "Waafrika Ndivyo Tulivyo" unakosea, maana wengine tuliwambia tangu 95 kwamba Kikwete bomu.

That is my beef, kuniingiza katika mikundi nisiyomo.
 
Pundit,
Yes, watu wa mataifa yote wameisha kuwa conquered, hii haina Ubishi hata kidogo isipokuwa unashindwa kuiona point hapa. Ebu rudia kusoma tena labda utanielewa vizuri.
Hawa wenzetu wote walikuwa forced into hard labour na utumwa lakini sisi Waafrika ndio kwanza tulibeba silaha sisi wenyewe kumlinda mkoloni. Hawa wenzetu pamoja na kuwa utumwani walipopata mwanya tu waliweza kujikomboa wao wenyewe...na kila siku ya maisha yao walipingana na walowezi no matter how long walitawaliwa lakini hawakumbumbatia mlowezi...
Sisi Waafrika kwa ujumla leo hii tunajutia kwa nini mkoloni aliondoka!..Na wapo wengi tena wasomi wanaomba Mungu labda mzungu arudi tupate kuendelea...Hakuna bara lolote duniani lenye mawazo kama hayo isipokuwa Afrika na sababu kubwa ni sisi wenyewe waafrika!.. Viongozi wetu wamekuwa washenzi kuliko hata huyo Mkoloni!..Kifupi hatuona kiongozi bora kati yetu sisi Waafrika!...Lol..
Tazama nchi nyingine zote duniani, wapo vibaraka, wezi na pengine washenzi kama sisi lakini unaona wananchi wake wakisimama dhidi ya vibaraka hao..lakini njoo Afrika the main issue ni kabila na dini ya huyo Mtawala haijalishi anaiba kiasi gani!..
Utaitwa mwizi na Wasukuma ikiwa wewe ni Mchagga lakini Msukuma mwizi huitwa shujaa kaweza kuwajengea watoto wake future kwa fedha alizoiba.na Wachagga watakuona wewe hivyo hivyo kama walivyoona wasukuma. Hakuna historia ya mwafrika kusimama peke yake dhidi ya bwana mtawala wake hadi wakati askari wetu walipotoka Burma vitani. Huko ndiko walikoweza kuona watu wakipigana kwa Umoja kupinga kutawaliwa. Na hata Mwalimu somo zima la kujitawala halikuwa akilini hadi alipokutana na askari hawa wakamwambia yanayotokea nchi za Asia.
Duh Sarah Palin tena!... ama kweli huoni nje!..kizaaaaa.

Amini maneno yangu - Kwetu sisi ni kabila na dini ndio signature ya Uadui na unazi...hakuna mwafrika hata mmoja tofauti!
UTAWALA - NDIVYO TULIVYO!
KIUCHUMI - VIONGOZI ni REFLECTION YETU....
 

Mkandara,

Your post betray a tragi-comic episode of Shakesperean proportion.

Sasa kati yangu mie niliye na pride kwamba waafrika tunaweza, matatizo ni circumstances, na wale wanaosema "Waafrika Ndivyo Tulivyo" nani anamlilia mkoloni arudi?

Utaona hata in this day and age kuna watu, kama ulivyosema, bado wana surrender. You are bringing about a self defeating point here.
 
Pundit,
Mkuu bado huelewi?.. kutokubali kwako mkoloni kutorudi haina maana umeshapata answer ya tatizo ulilokuwa nalo.. NDIVYO TULIVYO!..
Wewe ni sawa na mtazamaji asiyecheza mpira lakini unatazama wachezaji uwanjani wakifukuza mpira mmoja...yawezekana wewe goalkeeper hufukizii lakini unayaona makosa. unaona jinsi timu yako inavyofungwa na kadhalika lakini U can do nothing zaidi ya kushabikia kwa sababu alone U can't change a thing, yet.. unapenda kucheza ama kutazama mchezo wa mpira na kushabikia timu yako!..
Now hakuna anayesema mchezo mzima wa mpira ni mbaya isipokuwa tunazungumzia timu, utawala, na jinsi wanavyojaribu kucheza...
 

Kwa mfano wako, uanweza kusema "Timu Hii Ndivyo ilivyo" au ukisema hivyo haraka sana inabidi u qualify hiyo statement kwamba kipa anaona matatizo lakini tatizo kipa hachezi?

Sijajibiwa swali langu na tatizo langu kubwa na huu msemo kwamba uko too general na suprisingly collectivists kutoka kwa watu wanaoji identify na Republicans, maana Republicans wana ji pride on individuality and freedom.Sasa hapo utaona hamna U Republican wala nini, ni self hate tu.
 
Sasa timu hiyo ndio Afrika na Afrika sio timu kama haina wachezaji wake WAAFRIKA..
Kipa ndio wewe mimi na wengine wote tunaoyaona makosa lakini hatuwezi kubadilisha kitu maana tupo uwanjani tunasubiri hadi mpira upigwe golini...magoli tunafungwa lakini we can't quit ndio mchezo wenyewe...sportsmanship au sio!
Wengine ni watazamaji, wengine washabiki wanasikiliza/tazama ktk redio na Luninga lakini sote kwa umoja na tofauti zetu ni timu hiyo ya Afrika inayobugia magoli!...
Najua itakuwa kazi kubwa kukufahamisha lakini ndio ukweli mkuu wangu.. nimekuuliza huo Mtandao una watu wangapi?.. hukunijibu tena basi ngazi za juu wameshika Wahindi wachache kina Patel..Tumemuona Mnyapala Mkapa akishirikiana nao toka rada hadi kufungua mabenki ya M, Kaja Kikwete ndio kwanza hawa jamaa wamejenga hekalu leo hii wanatafuta hata kumweka rais wanaomtaka wao..
Mkuu list aliitoa Invisible na kazi zao zote na jinsi walivyoweza kuifilisi nchi, wewe na mimi kama Goalkeepers, sijui linesmen tumefanya nini tofauti na babu zetu wakati wa mkoloni?... NOTHING! then tujiulize WHY?... yawezekana kabisa - Ndivyo tulivyo, unless wewe una jibu tofauti liweke hapa utatusaidia sote.
 
What I strongly object to, as an African, is to be lumped together with a bunch of people who are irresponsible, just because perhaps they are the majority and/or influential.

Do you see that as fair? For one to brand "Waafrika Ndivyo Tulivyo" wakati wengine hatuko hivyo?
 
Pundit,
Nimekuuliza hapo nyuma kwa mfano mzuri sana hujanipa jibu...
Well twende unakotaka wewe.. nambie tofauti yako na waafrika wengine those bunch of irresponsible people.. Umefanya nini tofauti na babu zetu waliotawaliwa na kushika bunduki kumlinda mkoloni. Wewe kama mwafrika umeweza vipi kuwa tofauti na wengine ikiwa bado unacheza ktk timu inayoshindwa na mafia ya kina Patel...ama ni dawa gani unaipika!
Doing nothing inakufanya hata wewe uwe irresponsible sawa na mimi hapa ninayekubali kuwa ndivyo tulivyo!
 
For starters mi sipigii kura mafisadi. Kama wote tungefanya hivyo tungepata regime change na accountability, a good starting point.
 
"Never deprive someone of hope, it might be all they have" - Author Unknown.

I hope hawa viongozi wetu wa taifa hawajatufikisha huko, kwamba wametunyang'anya all our hope kwa the future ya our nation.
 
Pundit,
Lakini unapiga kura ktk mfumo ambao ni wa Kifisadi!...
Mkuu nifahamu hapa, Mafisadi wote mimi nawaita Wanyapala.. kwa hiyo unamchagua/humchagui nyapala ambaye unajua kabisa kwamba bado wewe utabakia ktk mtumwa... tofauti ya mtazamo wako ktk kumchagua Nyapala haiwezi kukuletea mabadiliko ya Utumwa..
Now, wewe kama mtumwa umefanya nini kuondokana na Utumwa kwani waafrika ndivyo tulivyo inabeba mambo mengi ikiwa ni pamoja na kuwepo ktk kundi la mbuzi ama kondoo.
Wapo wanyapala, watumwa na wengine waliendesha maisha yao hivyo hivyo chini ya kutawaliwa...
The all picture ni kwamba huna Uhuru kamili hata kama hukuchagua fisadi... umefanya nini kuondokana na hali hiyo!
 
For starters mi sipigii kura mafisadi. Kama wote tungefanya hivyo tungepata regime change na accountability, a good starting point.

Ms.Golden Delicious, you are just deep, deep in denial.....poor thang....
One day you'll get it....
 
"In union there is strength" - Author Aesop's Fables.

Isipokuwa kwa sisi Tanzania tu.
 


Jamaa wamepotoka kwa kudhani wanajenga.
Kuna baya zaidi, pale wanapo-display hiyo quote ya "Waafrika Ndivyo Tulivyo" kwa mtu ambaye hana hata idea ya maudhui ya kitabu cha Dr. Malima Bundara. Kwa tamaa ya kuuza kitabu, Dr. Bundara could not care less about the side effects of that statement.


  • Heri kufa macho kuliko kufa moyo
    (Literal Meaning: It is better to go blind than to lose your will to do anything)

Kwa nini mnaua mioyo ya wenzenu?


Mkandara,
Ulichokiandika kina afadhali:
Tutaendelea kuwa NDIVYO TULIVYO hadi lini?..


It is my hope that you guys will understand what message is being conveyed by that hopeless quote of Dr. Bundara.



.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…