Tanzania: Rais Magufuli asema shule na shughuli zingine zote kuendelea kuanzia Juni 29, 2020

yahoo

JF-Expert Member
Joined
Sep 9, 2011
Posts
3,526
Reaction score
1,409

Rais ametangaza kwamba tarehe 29/06/2020 shule zote zifunguliwe.

Amesema hali ya Corona nchini inaendelea vizuri na imepungua sana. Amesema shughuli nyingine zote kama kufunga ndoa nazo ziendelee na maisha lazima yarudi kama ilivyokuwa awali.

Ameyasema hayo akihutubia wananchi kupitia kikao cha kuvunja bunge la 11
 
Sawa Baba ngoja nianze kurudisha mawazo shuleni dona na maharage deili.Wadau tunaosoma Mzumbe five mmeipata hiyooo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…