COLLOH-MZII RELOADED
JF-Expert Member
- Apr 6, 2017
- 7,544
- 3,131
Investor akitaka kuinvest sai anatumia data za 2016....wewe usinionyeshe ujinga wapi za 2017 hapo...Tatizo lako usomi unakulupuka. Wamefanya research ya miaka mitatu in three years. Wameikusanya pamoja ndowakaleta matokeo in 2017. Ina maana matokeo ya 2017 watatoa tena ndani ya 2021report. Umeelewa au tukuludishe shule??
Umekosea ni northern sisters[emoji6]Habar kama hizi zinawauma sana northern brothers
Yhaaak! Some forks. You don't need to have a look at them physically. It's the tosh that they spitt that helps you read through and even beyond their oblangata and understand the kind of blokes they are.Umekosea ni northern sisters[emoji6]
Anayeona mwanamke ni mfano wa umalaya na ngono ndiye mwenye pepo la umalaya na ngono.
Kwangu mimi wanawake ni mama zangu, dada zangu ndugu zangu etc.
Kama hujaelewa mfano, uliza.
Siwezi kutoa mfano wa quantum physics na Kaluza-Klein manifold hapa kwa kuwa sina uhakika wengi wataelewa.
Nimetoa mfano wa mwanamke kwa sababu watu wote watauelewa.
Nchi ikiwa inavutia sana kwa kuwekeza vitegauchumi inaweza kupitwa na nchi ambayo haivutii sana katika kuvutia vitegauchumi, kwa sababu za jinsi wenye nchi wanavyojua kutumia fursa zao walizopewa kuvutia vitega uchumi.
Mfano, Kenya haina vivutio sana vya vitegauchumi, lakini inaishinda Tanzania yenye vivutio zaidi kwa sababu wenzetu wanajua kutumia vivutio vyao vichache.
Vivyo hivyo, hata mwanamke ambaye si mzuri sana lakini anayepewa matunzo mazuri na vipodozi anaweza kuvutia kuliko mwanamke mzuri sana ambaye hapewi matunzo wala vipodozi.
Sielewi hapo mtu mwenye akili zake timamuanaonaje umalaya.
Wewe ni Taliban, ISIS au Al-Qaeda?
Habar kama hizi zinawauma sana northern brothers
Haiwezi kutuuma maana hamna jipya hapo kwanza mlifaa kuwa namba moja maana mna kila aina ya raslimali zinazofaa kuwavutia wawekezaji.
Hapo kuwa namba nane ina maana bado sana. Kumbuka siku zote mnaongoza FDI hapa EAC yaani hizo raslimali zenu zingekua chini ya wachapa kazi wazalendo, leo hamgekua mnatajwa ndani ya mataifa maskini Africa.
Wewe leta 2017 na uache kutubeba ufalaHivo hii report imeongelea vitega uchumi?? Unajua kuwa mwanzo Uganda na Kenya walikua wanaongoza. Nenda Tanzania Investment wakusaidie zaidi juu yahi report. Hapa awajaangalia vitegauchumi. I some kwanza usikulupuke.
Algeria wapi number mbili. Unatoka kuniambia wana rasilimali kuliko Tanzania?? Uganda wanawazidi mwenye hi report. Mnataja kusema wana rasilimali kuliko nie Kenya?? Tena wapi nafasi ya 12 nie Kenya ya 15. Hapa niswala nchi kama nchi imejipanga je kuweka mszingira mazuri kwaajili ya wawekezajiHaiwezi kutuuma maana hamna jipya hapo kwanza mlifaa kuwa namba moja maana mna kila aina ya raslimali zinazofaa kuwavutia wawekezaji.
Hapo kuwa namba nane ina maana bado sana. Kumbuka siku zote mnaongoza FDI hapa EAC yaani hizo raslimali zenu zingekua chini ya wachapa kazi wazalendo, leo hamgekua mnatajwa ndani ya mataifa maskini Africa.
Kati ya wakenya vilaza wewe unaongoza. Huna tofauti na wale wambeya kwenye movie za kiindi. Ningeomba uingie mwenye website yao utafute hiyo yako ya 2017 utuwekeWewe leta 2017 na uache kutubeba ufala
Someone from Kenya please saidia kuelimisha hii Nyumbu!Haha bla bla bla...tafuta ya 2017 ndio tuongee si mnaswmaga Tz ya 2017
Wewe achaushamba nakukurupuka. Hawapimi hizi data kwakuangalia rasilimali. Kumbuka mwanzo Kenya na Uganda mlikuwa juu. Hapo wanaangalia Gharama zakuwekeza. Uharaka wakupata document zauwekezaji. Kodi na gharama zakulipa muwekezaji. Gharama za logistic. Securrty ya muwekezaji. Mazingira na sehemu walizotengewa wawekezaji. Uwingi wa wawekezaji wanaoingia nchini.Swala la rasilimali hapa alitumiki kama kigezo hats kidogo
Haiwezi kutuuma maana hamna jipya hapo kwanza mlifaa kuwa namba moja maana mna kila aina ya raslimali zinazofaa kuwavutia wawekezaji.
Hapo kuwa namba nane ina maana bado sana. Kumbuka siku zote mnaongoza FDI hapa EAC yaani hizo raslimali zenu zingekua chini ya wachapa kazi wazalendo, leo hamgekua mnatajwa ndani ya mataifa maskini Africa.
Tatizo akili zako zimekaa ki iPhone 7. I can't argue with a fool.Haha bla bla bla...tafuta ya 2017 ndio tuongee si mnaswmaga Tz ya 2017
Mwenzio tayar kasema imewauma na wanaomba serikali itoe tamko[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Haiwezi kutuuma maana hamna jipya hapo kwanza mlifaa kuwa namba moja maana mna kila aina ya raslimali zinazofaa kuwavutia wawekezaji.
Hapo kuwa namba nane ina maana bado sana. Kumbuka siku zote mnaongoza FDI hapa EAC yaani hizo raslimali zenu zingekua chini ya wachapa kazi wazalendo, leo hamgekua mnatajwa ndani ya mataifa maskini Africa.
Mwenzio tayar kasema imewauma na wanaomba serikali itoe tamko[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Mimi nimemjibu kitaalam yeye amekimbilia mapicha ya kwenye blogs. Amedhirisha uelewa wake mdogo kwenye taarifa alizozileta.
Mada kama hizi huwa tamu sana kuzijadili maana zinaelimisha hata wanaopita kimya, lakini tatizo ni pale mleta mada anakua na mahaba fulani na ushabiki shabiki huku akiwatusi wachangiaji, inabidi anaachiwa uzi wake aendelee kutiririka mwenyewe.