Alger
Algeria wapi number mbili. Unatoka kuniambia wana rasilimali kuliko Tanzania?? Uganda wanawazidi mwenye hi report. Mnataja kusema wana rasilimali kuliko nie Kenya?? Tena wapi nafasi ya 12 nie Kenya ya 15. Hapa niswala nchi kama nchi imejipanga je kuweka mszingira mazuri kwaajili ya wawekezaji