Tanzania real estate informetrics

Is the data available on the current publication issue??
 
DarProperty Tz, mkuu unaweza nipa occupancy rate ya skyscrapers za mifuko ya pensheni ambazo zipo cbd
 
Last edited by a moderator:
Ndugu,
tunashukuru ufuatiliaji wako katika maswala haya. Kwa taarifa mahsusi ya swala lako ni vyema ungepata hizo taarifa kwa wahusika (Property manager) wa hayo majengo.
 
Mkuu mjasiriamalidzamani unaulizia kwa office space au residential space??

Kwa sasa sina hakika ila kwa properties nyingi za pension funds hasa upande wa official spaces nilikuwahi kufanya utafiti usio rasmi hapo miezi ya March ilikuwa kama 80-90 hivi depending na umri wa property sokoni na rental rates%.

Kwa offices properties nyingi zinafanya vizuri kuliko residential.

NB hii haihusishi new properties kama PSPF tower
 
Last edited by a moderator:
Ndugu,
tunashukuru ufuatiliaji wako katika maswala haya. Kwa taarifa mahsusi ya swala lako ni vyema ungepata hizo taarifa kwa wahusika (Property manager) wa hayo majengo.
Property managers hawawi wakweli coz their main goal is to attract more retailers/let more office space hence earning themselves commission, kwa kifupi wanakuingiza kingi na baada ya kusign lease unastuka kwamba occupancy rate ya jengo ipo chini sana
 
Aisee, iyo occupancy rate ni nzuri sana, sema target yangu ni haya majengo mapya, sababu kubwa ya kuuliza ni kwamba mtu unataka kuweka restaurant kwenye jengo kama pspf tower ukitarget ile available market ya occupants wa lile jengo, umeshachukua retail space mwaka unaisha karibia 70% ya jengo lipo unoccupied na wewe unategemea foot traffic to meet your returns, hapo maumivu. Nakwambia hivi coz majengo mengi ya mifuko niliyotembelea naona hayana vacancy rate nzuri.
 
sijaelewa kabisa
Haya mambo inabidi uyajue mama ili ng'ombe akija na pesa zake na kukuuliza nikufungulie biz gani, unamwambia real estate baba, akiuliza commercial au residential, unamwambia km upo vizuri mixed use ndio mpango mzima. then yeyote yule atakayepitia kwenye familia yako anasahau kuhusu shida{mnakusanya kodi tu na kuzipandisha}
 
sawa mkuu
 
Ndugu,
tunashukuru ufuatiliaji wako katika maswala haya. Kwa taarifa mahsusi ya swala lako ni vyema ungepata hizo taarifa kwa wahusika (Property manager) wa hayo majengo.

Masaki bado kuna viwanja vya kununua?
 
Ndugu,
Asante kwa swali, Masaki bado kuna viwanja lakini vingi ya viwanja hivyo vina majengo ya zamani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…