Lewis254
JF-Expert Member
- Apr 3, 2017
- 7,729
- 3,569
mkuu,, naomba tafsiri ya alichokiandika TEMLO DA VINCAWanadhani Tanzania hawapimi wala kuchukua hatua zozote zaidi ya kuwahimiza wananchi wasali tu 😂😂😂
Akili zao aliondoka nazo mkoloni.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
mkuu,, naomba tafsiri ya alichokiandika TEMLO DA VINCAWanadhani Tanzania hawapimi wala kuchukua hatua zozote zaidi ya kuwahimiza wananchi wasali tu 😂😂😂
Akili zao aliondoka nazo mkoloni.
Hey Mrs Boris mumeo anaendeleaje?mkuu,, naomba tafsiri ya alichokiandika TEMLO DA VINCA
I love how we make Kenyans fell good. Hawajui nini tunafanya hahahahah..
Wangejua duuu kweli tz noma lets this keep going we have our course to do this hahahah...
#always we know.. And take advantage of it. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
Nini mnakifanya zaidi hakifanywi na taifa lolote dunia hii, mlikua mumeshindwa kupima na kujitetea eti hamtaki mpime...sijui na vjisababu vingine lukuki huku mkituchekelea sisi tunaopima wengi, leo mumeshtuka na kuongeza kupima na kwa mpigo mnapata waathirika 53 ndani ya masaa 24
Sisi sasa hivi tunapima watu 800 na kupata waathirika 6
Tuliwaambia suluhu ni kupima kupima kupima, mkawa mnakaidi na kubeza mataifa yanayopima, tatizo uwezo wenu wa kufikiri huwa uko slow sana.
Na hili la kuchukua tahadhari nina uhakika mtafanya ila baada ya kuchelewa kama ilivyo kawaida yenu.
LOL how could a paralyzed brain like yours which doesn't believe in 21st century there's probability of shipping perishables via sea, genuinely care about Tanzania?We genuinely care about Tanzania, but Tanzanians are adamant to never take any advice from Kenya.
You have been saying that since 1967, half a century later you are still saying the same thing.I love how we make Kenyans fell good. Hawajui nini tunafanya hahahahah..
Wangejua duuu kweli tz noma lets this keep going we have our course to do this hahahah...
#always we know.. And take advantage of it. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
Dude don't you see you are embarrassing yourself! Transporting fresh produce from Mombasa to europe by sea!!! Are you insane? It will not be fresh produce anymore.LOL how could a paralyzed brain like yours which doesn't believe in 21st century there's probability of shipping perishables via sea, genuinely care about Tanzania?
😅😅😅😅 We don't want that care
Lunatic get lost in slums
You are not doing anything let us be honest. Your superstitions are still alive and well like during the maji maji rebellion. You are putting your neighbors at risk.Wanadhani Tanzania hawapimi wala kuchukua hatua zozote zaidi ya kuwahimiza wananchi wasali tu 😂😂😂
Akili zao aliondoka nazo mkoloni.
Napenda namna mnavyo angaika na Tz wakati kwenu kunaungua moto 😂You are not doing anything let us be honest. Your superstitions are still alive and well like during the maji maji rebellion. You are putting your neighbors at risk.
bastard goon, read the map idiotDude don't you see you are embarrassing yourself! Transporting fresh produce from Mombasa to europe by sea!!! Are you insane? It will not be fresh produce anymore.
Learn to think and talk like a man, not a postmenopausal woman with a learning disorder.
How could you understand that it's possible to transport perishables through the sea if you don't have any idea where the middle east positioned on the map 🗺️😅😅😅You are not doing anything let us be honest. Your superstitions are still alive and well like during the maji maji rebellion. You are putting your neighbors at risk.
Tanzania has been and will always be the slow kid of east africa community.
Hawajui what's going on in Tz..Wanadhani Tanzania hawapimi wala kuchukua hatua zozote zaidi ya kuwahimiza wananchi wasali tu [emoji23][emoji23][emoji23]
Akili zao aliondoka nazo mkoloni.
We unajua tafsiri ya nilichoongea???mkuu,, naomba tafsiri ya alichokiandika TEMLO DA VINCA
umeongea na nani/ wapi?
Narudia Kenya hamwezi kujua nn tunafanya..Nini mnakifanya zaidi hakifanywi na taifa lolote dunia hii, mlikua mumeshindwa kupima na kujitetea eti hamtaki mpime...sijui na vjisababu vingine lukuki huku mkituchekelea sisi tunaopima wengi, leo mumeshtuka na kuongeza kupima na kwa mpigo mnapata waathirika 53 ndani ya masaa 24
Sisi sasa hivi tunapima watu 800 na kupata waathirika 6
Tuliwaambia suluhu ni kupima kupima kupima, mkawa mnakaidi na kubeza mataifa yanayopima, tatizo uwezo wenu wa kufikiri huwa uko slow sana.
Na hili la kuchukua tahadhari nina uhakika mtafanya ila baada ya kuchelewa kama ilivyo kawaida yenu.
wapi wale walokuwa wakishangilia na kurukaruka baada ya kuleta scoreboard hapa kila siku?Ndio wale wale naona wanajaribu kubadilisha mada ya uzi huu. Niliwaonya hawa wapumbavu ambao walikuwa wanafungua nyuzi zaidi ya hamsini humu. Wakiwakejeli wakenya na kusema eti scoreboard sijui Kenya 90 Tz 32. Wabongo itabidi mboreshe sekta yenu ya elimu, maanake inachomoa mambumbumbu kila uchao wenye akili za kipuuzi ambazo hutaziona sehemu yeyote nyingine duniani.
Narudia Kenya hamwezi kujua nn tunafanya..
Just Ka na hiyo fact afu kuhusu hiyo corona hahahah hapo ndo napocheka na kujua kua njie bure kabsa..
Tufanye hivii!!! Nyie fanyen yenu afu mtuache sisi tufanye yetu..tutakutana wa mwez wa sita afu mtapima na kujionea...
Siongei kingne zaidi... TCHAOO... [emoji23][emoji23][emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app