Tanzania records trade surpluses in both EAC and SADC

Comoros ambayo ni kama mkoa wa Tanzania tu umeiweka wapi?
 
Hujui hata maana ya service economy, hamna bank yoyote Kenya inayoweza kufinance mradi wa dollars million 100 tu.

Bado banks zenu ni microfinance banks na hazijaajiri hata 1% ya Wakenya
 
Hili tulishatoa elimu kipindi kifupi kilichopita. Usirudie kuongea ongea vitu ambavyo huvijui. Tukiongelea tertiary level of economy kwa Afrika tuna nchi moja ama mbili tu.
 
Hujui hata maana ya service economy, hamna bank yoyote Kenya inayoweza kufinance mradi wa dollars million 100 tu.

Bado banks zenu ni microfinance banks na hazijaajiri hata 1% ya Wakenya

Nadhani unakumbuka mlevi mmoja alikuwa anapayuka payuka humu, eti kenya ni service based (tertiary level) economy. Tulimshushia vitu kizito akazimika. Hajawahi kuja tena na tabia ile ya kubwabwaja vitu ambavyo hawavijui.
 
Service industry ni backbone ya uchumi wetu. Service industry ni zaidi ya 50% ya uchumi wetu. Unashangaza sana. Unazungumza kuhusu madini gani ilhali sisi hatuna madini. Kilimo gani na nchi yetu karibu yote ni jangwa? Hueleweki wakati mwingine. Cha kwanza elewa kwamba Kenya hatujabarikiwa na ardhi nyingi yenye rutuba wala mvua kwa wingi. Maeneo ya magharibi na ya kati pekee ndio huwa yanapokea mvua nyingi. Maeneo ya kaskazini na mashariki hayapati mvua. Jifunze kuhusu Kenya kwanza ndio uje kucomment. Halafu madini gani hayo unazungumzia ambayo ni sehemu kubwa ya uchumi wa Kenya?
 
Hujui hata maana ya service economy, hamna bank yoyote Kenya inayoweza kufinance mradi wa dollars million 100 tu.

Bado banks zenu ni microfinance banks na hazijaajiri hata 1% ya Wakenya
Wacha ujinga wewe. Unaropokwa ujinga tu.
 
Hata sisi tuna bank DRC tena nyie bank iliyoko DRC ni ya mtu binafisi iyo Equity sasa unabrag nn wakati sisi bank iliyoko DRC ni bank ya CRDB ambayo ni ya serekali ya Tanzania. See the difference usikurupuke Kama umepgwa na kitu kizito kichwani[emoji38][emoji38][emoji38]
 
Hili tulishatoa elimu kipindi kifupi kilichopita. Usirudie kuongea ongea vitu ambavyo huvijui. Tukiongelea tertiary level of economy kwa Afrika tuna nchi moja ama mbili tu.
Unashangaza sana. Kwa hivyo service sector ni asilimia ngapi ya uchumi wa Kenya? Hebu wewe tujuze kwa maana unasema mimi sielewi.
 
Nadhani unakumbuka mlevi mmoja alikuwa anapayuka payuka humu, eti kenya ni service based (tertiary level) economy. Tulimshushia vitu kizito akazimika. Hajawahi kuja tena na tabia ile ya kubwabwaja vitu ambavyo hawavijui.
Leta evidence. Leta masomo. Mimi nipo tayari. Wivu wenu hautawasaidia kwenye hili debate.
 
Equity bank ni ya pili kwa ukubwa Drc. Bank yenu hata haipo top 5. Usibwabwaje tu.
 
Wacha ujinga wewe. Unaropokwa ujinga tu.
Nioneshe mradi mmoja wa zaidi ya million 50 dollars bank yenu imefinance na mimi nitakuonesha Tanzania banks financial services on multimillion dollars projects
 
Nilikua ninazungumzia nchi za Afrika kwa ujumla, Je Tanzania tunaweza kusema uchumi wetu ni "Service based" kwasababu Utalii unaingiza pesa nyingi?, au tunaweza kusema ni Explorative kwasababu tunachimba madini mengi?.
Tunaomba data kuonyesha service industry ya Kenya imeajiri wakenya wangapi na inachangia asilimia ngapi ya GDP yenu kwa mwaka na ulinganishe na kilimo,. Kenya is a Agriculture based Economy and shall remain so may be in 30 to 50 years to come. Bank zenu hazijatoa ajira hata kufika wakenya 100K vipi unasema, ukijumlisha service sector yote ya Kenya hiajafika hata 10% ya GDP per year it's contribution to your Economy. Weka data tuone.
 
Unashangaza sana. Kwa hivyo service sector ni asilimia ngapi ya uchumi wa Kenya? Hebu wewe tujuze kwa maana unasema mimi sielewi.
Wewe ndio ulipaswa kutuambia, mchango wa service sector interms of job creation and GDP contribution vs Agriculture sector, weka data wacha maneno matupu
 
Nioneshe mradi mmoja wa zaidi ya million 50 dollars bank yenu imefinance na mimi nitakuonesha Tanzania banks financial services on multimillion dollars projects
Soma hii article yote. Absa Kenya iliipa East African Breweries mkopo wa ksh 11 billion yaani $100 million.
 
Mimi huwa sikurupukii. Na mimi huwa ninashinda nikichambua data za uchumi wa Kenya kila wakati. Nipe one hour nifike nyumbani, nakupatia data uliyoitisha sasa hivi. Halafu kujibu tu swali lako, ndio tourism sector pia ni part of service industry. Service industry ni neno la jumla na ndani yake kuna sub-sectors kama vile tourism, finance e.t.c. Narudi saa hii na data
 
Anza na hii.

Kenya - Services​

Accounting for approximately 56 percent of GDP, the service, or tertiary sector, is the most valuable area of economic activity in the domestic economy. The service sector consists mainly of 2 major areas: tourism and financial activities. Retail , which includes a significant number of restaurants in the urban centers, is dominated by small-scale street vendors, many of whom form part of the informal sector . In total, 144,300 Kenyans were involved in retail in 1996, not counting those that were engaged in the informal sector. The informal sector itself, known in Kenya as "jua kali," employs approximately 64 percent of all Kenyan urban workers. It is also the most dynamic sector in the economy in terms of job creation, accounting for about 90 percent of new jobs outside the smallholder farm sector. Informal sector activities, such as carpentry, motor vehicle repair, tailoring, hawking , and selling various fruits, vegetables, and other commodities, are largely service-based. Though the government recognizes the value of the informal sector, the U.S. Department of State Country Commercial Guide 2000 argues that it could do more to develop needed infrastructure.

Read more: Kenya Services, Information about Services in Kenya

Cc eliakeem
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…