Tanzania records trade surpluses in both EAC and SADC

Tanzania records trade surpluses in both EAC and SADC

Kwa wale watanzania wanaodhani kwamba income inamaanisha export pekee, soma hapa jinsi wachumi wanavyoielewa neno "income." Kulingana na wachumi wote duniani, neno income inamaanisha all types of income including salaries earned by workers, income earned by companies and so on. Kwa hivyo hata mapato ya mama mboga yanahesabiwa kama income.

Someni hapa mpate darasa kidogo.

Measuring Output Using GDP​

Defining GDP​

Gross domestic product is the market value of all final goods and services produced within the national borders of a country for a given period of time.

Income Approach​

The income approach looks at the final income in the country, these include the following categories taken from the U.S. “National Income and Expenditure Accounts”: wages, salaries, and supplementary labor income; corporate profits interest and miscellaneous investment income; farmers’ income; and income from non-farm unincorporated businesses. Two non-income adjustments are made to the sum of these categories to arrive at GDP:

  • Indirect taxes minus subsidies are added to get from factor cost to market prices.
  • Depreciation (or Capital Consumption Allowance) is added to get from net domestic product to gross domestic product.

joto la jiwe Geza Ulole
Kwa maana hiyo unakubali kwamba hata Tanzania uchumi wake ni "Service based?"[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kwa maana hiyo unakubali kwamba hata Tanzania uchumi wake ni "Service based?"[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sijawahi kupinga kwamba asilimia kubwa ya gdp ya Tanzania ni service based. Kulingana na hio picha aliyopost Geza Ulole, service sector ni 45% ya gdp yenu.
 
Sijawahi kupinga kwamba asilimia kubwa ya gdp ya Tanzania ni service based. Kulingana na hio picha aliyopost Geza Ulole, service sector ni 45% ya gdp yenu.
Tufunge huu mjadala tukatafute ukweli, lakini bado chumi za hizi nchi zetu ni Agriculture base economies, hata Botswana ambayo 90% ya GDP Yao hutokana na kuuza almasi, lakini bado ni "Agriculture based Economy" kwa sababu kilimo ndio kimeajiri watu wengi kuliko sector yoyote Ile.

Kenya hakuna sector yoyote yenye kuajiri watu wengi zaidi ya kilimo kwa Sasa, usitazame Contribution ya GDP pekee, lazima uangalie sector ambayo ndiyo inayotumainiwa na wananchi wengi wa nchi hiyo kwa ajili ya kupata maisha, 70% ya wakenya vijijini hutegemea kilimo, kumbuka 80% ya wakenya wanaishi vijijini, yaani bila kilimo hakuna uchumi kwa wakenya, japo GDP inaweza kuongezeka.
 
Kwenye kuajiri watu, agriculture ipo sawa ila kwa kuwalipa inawalipa vibaya na mapato yao ni madogo mno. Kwenye total income earned, inavuta mkia vibaya sana na service sector inashinda. Sasa hakuna mtu aliyepinga kauli yako kwamba agriculture inaajiri watu wengi, tatizo ni kusema kwamba kwa sababu inaajiri watu wengi basi pia inaleta mapato mengi kwa uchumi. La hasha kuna sector zinazoleta mapato mengi sana japo haziajiri watu wengi. Ni sawa wacha mjadala uishie hapo. Nadhani tumeelewana kidogo.
 
Back
Top Bottom