Tanzania records trade surpluses in both EAC and SADC

Kwa maana hiyo unakubali kwamba hata Tanzania uchumi wake ni "Service based?"[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kwa maana hiyo unakubali kwamba hata Tanzania uchumi wake ni "Service based?"[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sijawahi kupinga kwamba asilimia kubwa ya gdp ya Tanzania ni service based. Kulingana na hio picha aliyopost Geza Ulole, service sector ni 45% ya gdp yenu.
 
Sijawahi kupinga kwamba asilimia kubwa ya gdp ya Tanzania ni service based. Kulingana na hio picha aliyopost Geza Ulole, service sector ni 45% ya gdp yenu.
Tufunge huu mjadala tukatafute ukweli, lakini bado chumi za hizi nchi zetu ni Agriculture base economies, hata Botswana ambayo 90% ya GDP Yao hutokana na kuuza almasi, lakini bado ni "Agriculture based Economy" kwa sababu kilimo ndio kimeajiri watu wengi kuliko sector yoyote Ile.

Kenya hakuna sector yoyote yenye kuajiri watu wengi zaidi ya kilimo kwa Sasa, usitazame Contribution ya GDP pekee, lazima uangalie sector ambayo ndiyo inayotumainiwa na wananchi wengi wa nchi hiyo kwa ajili ya kupata maisha, 70% ya wakenya vijijini hutegemea kilimo, kumbuka 80% ya wakenya wanaishi vijijini, yaani bila kilimo hakuna uchumi kwa wakenya, japo GDP inaweza kuongezeka.
 
Kwenye kuajiri watu, agriculture ipo sawa ila kwa kuwalipa inawalipa vibaya na mapato yao ni madogo mno. Kwenye total income earned, inavuta mkia vibaya sana na service sector inashinda. Sasa hakuna mtu aliyepinga kauli yako kwamba agriculture inaajiri watu wengi, tatizo ni kusema kwamba kwa sababu inaajiri watu wengi basi pia inaleta mapato mengi kwa uchumi. La hasha kuna sector zinazoleta mapato mengi sana japo haziajiri watu wengi. Ni sawa wacha mjadala uishie hapo. Nadhani tumeelewana kidogo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…