Tanzania register trade surplus with kenya

@@@Tony254
@
Ulisema kwamba sisi ni manyang'au kwamba sisi hatuaminiki. Kwamba Kenya huwa inapenda kuanzisha vita na jirani zake. Sasa mbona TZ inafaidika sana na uhusiano huu mwema tangu rais Samia aje kupiga magoti hapa Kenya? Samia hana kiburi kama Magufuli. Uhusiano kati ya Kenya na Magufuli ulikuwa mbaya sana kwa sababu Magufuli alikuwa na roho mbaya na Kenya. Trade kati ya Kenya na TZ ilikuwa ndogo ila sasa wakulima na wafanyibiashara wenu wanafaidika na trade hii maana Kenya ina uchumi mkubwa huwa tukinunua tunanunua kwa sana. Pesa ipo, pesa sio tatizo huku. Tuna uwezo wa kuimport vitu kwa wingi. Kenya huwa inaimport zaidi ya $14 billion kila mwaka. Narudia tena $14 billion kila mwaka. Uchumi wa Kenya sio mdogo kama wenu. Mjifunze kunyenyekea mbele yetu, mtafaidika sana.

cc The best 007 Geza Ulole
 
Sababu za kuwazidi ni "strong industrialization policy" ambayo iliwekwa na Magufuli, tuliwaambia kwamba Magufuli atazamisha kabisa manufacturing industry ya Kenya, subiri mwakani Bwawa la Nyerere likianza kuzalisha umeme, viwanda vya Kenya vitafungwa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Sasa hio strong industrial policy yenu ingewasaidia vipi ikiwa Magufuli angeendeleza roho yake mbaya na Kenya? Sio lazima Kenya inunue hizo products zenu. Bado tungeendelea kufungiana border tu kama huyo jamaa bado angekuwa hai. Kutengeneza bidhaa ni rahisi ila kupata market ndio kazi ngumu. Mungesumbuka sana kupata soko ukanda huu maana nchi nyingi ukanda huu zina uchumi ndogo. Zambia, Uganda, Malawi hizi ni nchi masikini haziwezi kununua chochote kutoka kwenu. Kubali tu kwamba unyenyekevu wa mama ndio umefanya sisi tuanze kununua bidhaa zenu kwa wingi. Magu kama angekuwa hai bado mchezo wa kufungiana border ungekuwa unaendelea.
 
Huyu mama akiachwa afanye anachokifanya naona Tanzania itapaishwa sana, maana hana chuki na majigambo ya mtangulizi wake, yeye akomae tu hivyo hivyo, sisi Wakenya nia yetu kubwa ni biashara, kuna malori mengi sana hupita mpakani kuja Kenya na ukifuatilia kwa makini unakuta ni mizigo imenunuliwa na Wakenya huko huko Tanzania.

Kuna Wakenya wengi husafiri kwenda Tanzania kutafiti kitu gani wanaweza kununua na kuuza Kenya, wanakatiza hadi mikoani.
 
Soko letu kubwa la bidhaa zetu ni South Africa sio ninyi, tunauza bidhaa zenye thamani ya $700M kila mwaka kwenda South Africa wakati Kenya tunauza $330M pekee [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kumbuka nyie mumekuwa na uhusiano wa karibu na South Afrika kwa miaka nyingi ilhali Kenya na TZ tumekuwa na mashindano za kitoto kwa muda mrefu. Hata kuna wakati tulifungiana border kwa mwaka mmoja baada ya kuvunjika kwa EAC ya zamani. EAC hio ilivunjika kwa sababu Kenyatta na Nyerere hawakuweza kuelewana kuhusu maswala mengi ikiwemo ni njia gani EAC inastahili kufwata, socialism au capitalism. Cha muhimu ni kufahamu kwamba hata reli iliyojengwa na wakoloni inayotokea Kenya na kuingia TZ ilikufa wakati wa vita baridi kati ya KE na TZ. Wakati huu ndio KE na TZ tunajenga powerline ya kwanza ili kuunganisha nyaya za umeme za nchi zetu mbili. Wakati huu ndio Kenya inajenga barabara inayoitwa Dongo Kundu bypass ambayo itakwepa kupitia Likoni channel na kupitia kando kando ili kuunganisha Kenya na Tanzania directly bila kupitia ferry ya Likoni. Baada ya barabara hii kukamilika, itapunguza muda wa safari ya kutoka KE kuelekea TZ kwa asilimia 50 au zaidi. Hakutakuwa tena na mambo ya kutumia ferry ili kuvuka kivuko cha Likoni ili kuelekea Kenya au Tanzania. Halafu pia kuna barabara inayojengwa kutokea Kilifi, Kenya hadi Arusha. So tegemea kwamba soon trade kati ya KE na TZ itaifikia na kuipita ya South Africa. Bora tu msichague mpumbavu mwingine mwenye roho mbaya na Kenya. Mama yuko sawa na msichague wapumbavu wengine wenye roho mbaya maana hio ndio inayouwa uchumi zetu.
 
Huyu mama akiachwa afanye anachokifanya naona Tanzania itapaishwa sana, maana hana chuki na majigambo ya mtangulizi wake, yeye akomae tu hivyo hivyo, sisi Wakenya nia yetu kubwa ni biashara, kuna malori mengi sana hupita mpakani kuja Kenya na ukifuatilia kwa makini unakuta ni mizigo imenunuliwa na Wakenya huko huko Tanzania.

Kuna Wakenya wengi husafiri kwenda Tanzania kutafiti kitu gani wanaweza kununua na kuuza Kenya, wanakatiza hadi mikoani.
Very true jus the other day tumechukua 3 semis ya some goods hapo tz, good thing in partnership with a tanzanian based in kenya, but your right its kenyans taking the risk to cross the border
 
Kumbuka nyie mumekuwa na uhusiano wa karibu na South Afrika kwa miaka nyingi ilhali Kenya na TZ tumekuwa na mashindano za kitoto kwa muda mrefu. Hata kuna wakati tulifungiana border kwa mwaka mmoja baada ya kuvunjika kwa EAC ya zamani. EAC hio ilivunjika kwa sababu Kenyatta na Nyerere hawakuweza kuelewana kuhusu maswala mengi ikiwemo ni njia gani EAC inastahili kufwata, socialism au capitalism. Cha muhimu ni kufahamu kwamba hata reli iliyojengwa na wakoloni inayotokea Kenya na kuingia TZ ilikufa wakati wa vita baridi kati ya KE na TZ. Wakati huu ndio KE na TZ tunajenga powerline ya kwanza ili kuunganisha nyaya za umeme za nchi zetu mbili. Wakati huu ndio Kenya inajenga barabara inayoitwa Dongo Kundu bypass ambayo itakwepa kupitia Likoni channel na kupitia kando kando ili kuunganisha Kenya na Tanzania directly bila kupitia ferry ya Likoni. Baada ya barabara hii kukamilika, itapunguza muda wa safari ya kutoka KE kuelekea TZ kwa asilimia 50 au zaidi. Hakutakuwa tena na mambo ya kutumia ferry ili kuvuka kivuko cha Likoni ili kuelekea Kenya au Tanzania. Halafu pia kuna barabara inayojengwa kutokea Kilifi, Kenya hadi Arusha. So tegemea kwamba soon trade kati ya KE na TZ itaifikia na kuipita ya South Africa. Bora tu msichague mpumbavu mwingine mwenye roho mbaya na Kenya. Mama yuko sawa na msichague wapumbavu wengine wenye roho mbaya maana hio ndio inayouwa uchumi zetu.
Hahahaha, eti biashara Kati ya Kenya na Tanzania itazidi Ile ya South Africa na Tanzania [emoji23][emoji23][emoji23]. South Africa na Tanzania ni ndugu wa damu, Kenya na Tanzania ni majirani hatuna undugu wowote, hivyo haitotokea eti Kenya kuizidi South Africa, kumbuka uchumi wa South Africa ni zaidi ya mara 4 ya uchumi wa Kenya [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
We don't trust Kenya as a country and it's leadership, don't expect better business relationship with Tanzania
 
Kwasasa tanzania ndio top exporter ndani ya East and Central Africa. Kwa kuwa Tanzania Ina export surplus kwa nchi zote za jumuiya ya EAC
 
Usiringe sana, tunaweza kufunga border wakati wowote. Mnafaidika kwa hisani ya ukarimu wetu.
 
Kumbuka nyie mumekuwa na uhusiano wa karibu na South Afrika kwa miaka nyingi ilhali Kenya na TZ tumekuwa na mashindano za kitoto kwa muda mrefu. Hata kuna wakati tulifungiana border kwa mwaka mmoja baada ya kuvunjika kwa EAC ya zamani. EAC hio ilivunjika kwa sababu Kenyatta na Nyerere hawakuweza kuelewana kuhusu maswala mengi ikiwemo ni njia gani EAC inastahili kufwata, socialism au capitalism. Cha muhimu ni kufahamu kwamba hata reli iliyojengwa na wakoloni inayotokea Kenya na kuingia TZ ilikufa wakati wa vita baridi kati ya KE na TZ. Wakati huu ndio KE na TZ tunajenga powerline ya kwanza ili kuunganisha nyaya za umeme za nchi zetu mbili. Wakati huu ndio Kenya inajenga barabara inayoitwa Dongo Kundu bypass ambayo itakwepa kupitia Likoni channel na kupitia kando kando ili kuunganisha Kenya na Tanzania directly bila kupitia ferry ya Likoni. Baada ya barabara hii kukamilika, itapunguza muda wa safari ya kutoka KE kuelekea TZ kwa asilimia 50 au zaidi. Hakutakuwa tena na mambo ya kutumia ferry ili kuvuka kivuko cha Likoni ili kuelekea Kenya au Tanzania. Halafu pia kuna barabara inayojengwa kutokea Kilifi, Kenya hadi Arusha. So tegemea kwamba soon trade kati ya KE na TZ itaifikia na kuipita ya South Africa. Bora tu msichague mpumbavu mwingine mwenye roho mbaya na Kenya. Mama yuko sawa na msichague wapumbavu wengine wenye roho mbaya maana hio ndio inayouwa uchumi zetu.
Hiyo reli iliyojengwa kutoka Kenya kuingia Tanzania ni ipi?
 
Hivi kwanini msijikite na majirani zenu wa kaskazini kuliko kupoteza vishilingi vyenu vya madeni kuingia Tanzania?

Mpaka sasa mna barabara za lami zaidi ya 3 nafikiri kuingia Tanzania, wakati hamna route yoyote ya lami kuingia Sudan

Tanzania haijawahi kutaka uhusiano na ninyi wa style mnaoulazimisha uwe, sio viongozi wetu hawawataki ni wananchi hatuwataki kama ilivyo nchi zote jirani nanyi zinavyowakataa, ninyi mna laana ya kukataliwa na majirani lakini angalau huko kaskazini ndio mngewekeza nguvu nyingi kuelewana kuliko muda mnaopoteza kulazimisha uhusiano na Tanzania isiowataka
 
Usiringe sana, tunaweza kufunga border wakati wowote. Mnafaidika kwa hisani ya ukarimu wetu.
Mgafunga boda kisha mpate wapi kwengine mnavyopata Tanzania? 😂😂😂 Huko kaskazini si wendawazimu tu wote mnaofanana?
 
Hahahaha, eti biashara Kati ya Kenya na Tanzania itazidi Ile ya South Africa na Tanzania [emoji23][emoji23][emoji23]. South Africa na Tanzania ni ndugu wa damu, Kenya na Tanzania ni majirani hatuna undugu wowote, hivyo haitotokea eti Kenya kuizidi South Africa, kumbuka uchumi wa South Africa ni zaidi ya mara 4 ya uchumi wa Kenya [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Tena trade balance ndio itashuka kupindukia sababu parachichi zote zilizokua zikienda Kenya sasa zitapakia train na magari moja kwa moja South Africa

Hivi kwanini msijikite na majirani zenu wa kaskazini kuliko kupoteza vishilingi vyenu vya madeni kuingia Tanzania?

Mpaka sasa mna barabara za lami zaidi ya 3 nafikiri kuingia Tanzania, wakati hamna route yoyote ya lami kuingia Sudan

Tanzania haijawahi kutaka uhusiano na ninyi wa style mnaoulazimisha uwe, sio viongozi wetu hawawataki ni wananchi hatuwataki kama ilivyo nchi zote jirani nanyi zinavyowakataa, ninyi mna laana ya kukataliwa na majirani lakini angalau huko kaskazini ndio mngewekeza nguvu nyingi kuelewana kuliko muda mnaopoteza kulazimisha uhusiano na Tanzania isiowataka
Hayo ni maoni yako binafsi. Wewe unaongea kama mtu mmoja. Usijifanye kwamba unaongea kwa niaba ya Watanzania wote milioni 60.
 
Back
Top Bottom