Tanzania reports a $637m trade surplus in 2017

Tanzania reports a $637m trade surplus in 2017

Kwa wale ambao hamwelewi, Tanzania wamepunguza kuagiza vitu amabvyo si necessary.
... Kama nimeisoma vizuri hiyo taarifa -ambayo Toyota escudo amesema ni realistic- vilivyopungua kuagizwa ukizingatia thamani na gharama ni mafuta -kutokana na kushuka kwa bei- na mashine -kutokana na uchache wake.

... According to this report surplus ni $637m. Wakati huo huo inasemwa "....imported machinery dropped to $1,473.4 million from $1,917.4 million....". Pungufu kwenye uagizaji mashine ni zaidi ya nusu ya surplus. Tunachukulia hii report ni realistic.

... Naona vitu ambavyo ni necessary ndio vimepungua.

Pia hawaagizi construction equipment kumaanisha kuwa hakuna demand for them. Hili si jambo la kusherehekea

... Si jambo la kusheherekea, sababu export zimeshuka kwa kiasi kinachokaribia hiyo surplus! Inasemwa hivi "....overall export value of goods and services fell to $8,753.3 million in the year ending April 2017, compared with $9,333.2 million in the corresponding period ending April 2016".

... Export za bidhaa za viwanda ndio zimeshuka. Sababu inasemwa ni ushindani wa kikanda. mulisaaa tunapoelekea pazuri?

... With this performance, where is the needed economic growth coming from? sodoliki ?
 
Back
Top Bottom