Tanzania revenue forecast too optimistic, could delay projects, says IMF

sirikali haijawah kuwa makini ktk kupanga bajeti yake...
 
Kwani lini bajeti iliwahi kutekelezeka kwa 100%?
Hilo haliwezekani kwani fedha nyingine tunategemea wahisani, wasipotoa basi ndio mwisho wa hadithi. Tatizo nililoona kwa wabunge ni kushangilia, kupongeza, kama vile kila kitu kimeshamalizika. Yale ni makadirio ya mapato na matumizi, sikuona haja ya kushangilia kiasi kile kama vile hizo tril. 31 tayari tulikuwa nazo mkononi!!!
 
Chini ya utawala wangu hakuna kitakachotekelezwa hata kwa asilimia 50%. Jpm
 
Spika alikuwa kama MC, kuweka vibwagizo.
 
Hapo sasa, maana wengi walisema ndiyoooo na wengine kutishiwa eti wakipinga ni sawa na kukataa mgao wa fedha za maendeleo. Mimi nadhani kuwe na mabadiliko ya kimaono, pia kungekuwa na maelezo kwanza ya utekelezwaji wa bajeti tangulizi ili gung'amua changamoto mbalimbali kabla ya kuipanga na kuipitisha bajeti ya awamu mpya. Lakin kwa mfumo huu tutapata shida sana, kabda tu nao hawa IMF wawe wanatuzuga lakin kama ni kweli basi, hali ngumu sana
 
utasikia maandamano ya kuuunga mkono badget, siku hizi kila tukio ni maandamano ya kuunga mkono
 
Wabongo kwa uchawi, hizo tafiti wala hamna uhakika nazo, ila kwa sababu zimetungwa na wazungu na ni habari mbaya kwa utawala, Basi watu roho zimefurahii, maroho ya kishetani.
 
kwa la bajeti mwaka huu wa fedha tuta improve hawezi kuwa sawa mwaka Jana. Let's proceed ivoivo hadi gari litakapozimikia ndio hapohapo tutashuka na vidumu kutafuta sheli.tusiogope safari
 
Huyo ni nyumbu, kila kitu hupinga. Hilo suala raisi alilielezea vizuri tu.
 
vampire123

hahahaha tena kwel. Hawa jamaa ni wanafik ucpme.
 
Ni vizuri Rais wetu anajaribu.

Tupo pamoja nae, kmbora kujaribu kuliko kutojaribu na kuogopa kisa hawa wanyonyaji wameyatamka.
 
Wabongo kwa uchawi, hizo tafiti wala hamna uhakika nazo, ila kwa sababu zimetungwa na wazungu na ni habari mbaya kwa utawala, Basi watu roho zimefurahii, maroho ya kishetani.
Hoshea kwani kuna uongo hapa huu ni ukweli 100% hata wewe wajua
 
Aliyetafsiri hio habari amekoleza chumvi mnooo. Ukweli hauko hivyo hata kdg
 
Kweli kabisa mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…