Tanzania revenue forecast too optimistic, could delay projects, says IMF

Tanzania revenue forecast too optimistic, could delay projects, says IMF

Kwani lini bajeti iliwahi kutekelezeka kwa 100%?
Hilo haliwezekani kwani fedha nyingine tunategemea wahisani, wasipotoa basi ndio mwisho wa hadithi. Tatizo nililoona kwa wabunge ni kushangilia, kupongeza, kama vile kila kitu kimeshamalizika. Yale ni makadirio ya mapato na matumizi, sikuona haja ya kushangilia kiasi kile kama vile hizo tril. 31 tayari tulikuwa nazo mkononi!!!
 
Chini ya utawala wangu hakuna kitakachotekelezwa hata kwa asilimia 50%. Jpm
Hilo haliwezekani kwani fedha nyingine tunategemea wahisani, wasipotoa basi ndio mwisho wa hadithi. Tatizo nililoona kwa wabunge ni kushangilia, kupongeza, kama vile kila kitu kimeshamalizika. Yale ni makadirio ya mapato na matumizi, sikuona haja ya kushangilia kiasi kile kama vile hizo tril. 31 tayari tulikuwa nazo mkononi!!!
 
IMF wapo sahihi kabisa. Bajeti ya TZ ni ya kishabiki mno kuliko uhalisia. Ukiona bajeti inapigiwa makofi na wale jamaa waliopitisha mikataba ya madini kwa hati ya dharura na sasa inawarudi kwa aibu kubwa lakini bado hawaoni kosa na wanaendelea kuleta ushabiki wa kitchen party ndani ya Bunge hilohilo, basi jua kwa uhakika kuwa HAKUNA KITU hapo. Isitoshe, bajeti inapopongezwa na Spika mpiga bakora wagombea wenzie kwa kushindwa kutoa hoja zenye mashiko, atawezaje kutoa hoja kwenye kitu kigumu kinachohitaji akili kama Bajeti? Ataishia kusema tu "....kuna haja ya Waziri wa Fedha kuendelea kusoma bajeti hii?" . Kwa akili yake Spika bajeti ilishapita kabla hata ya kusomwa na kujadiliwa Bungeni!!!Sasa haya mambo ya IMF yenye uchambuzi wenye akili za kina Bwana Spika na Wabunge wake wa mipasho wataelewa vipi? Ngoja siku zifike tuisome namba!
Spika alikuwa kama MC, kuweka vibwagizo.
 
Hapo sasa, maana wengi walisema ndiyoooo na wengine kutishiwa eti wakipinga ni sawa na kukataa mgao wa fedha za maendeleo. Mimi nadhani kuwe na mabadiliko ya kimaono, pia kungekuwa na maelezo kwanza ya utekelezwaji wa bajeti tangulizi ili gung'amua changamoto mbalimbali kabla ya kuipanga na kuipitisha bajeti ya awamu mpya. Lakin kwa mfumo huu tutapata shida sana, kabda tu nao hawa IMF wawe wanatuzuga lakin kama ni kweli basi, hali ngumu sana
 
IMF wapo sahihi kabisa. Bajeti ya TZ ni ya kishabiki mno kuliko uhalisia. Ukiona bajeti inapigiwa makofi na wale jamaa waliopitisha mikataba ya madini kwa hati ya dharura na sasa inawarudi kwa aibu kubwa lakini bado hawaoni kosa na wanaendelea kuleta ushabiki wa kitchen party ndani ya Bunge hilohilo, basi jua kwa uhakika kuwa HAKUNA KITU hapo. Isitoshe, bajeti inapopongezwa na Spika mpiga bakora wagombea wenzie kwa kushindwa kutoa hoja zenye mashiko, atawezaje kutoa hoja kwenye kitu kigumu kinachohitaji akili kama Bajeti? Ataishia kusema tu "....kuna haja ya Waziri wa Fedha kuendelea kusoma bajeti hii?" . Kwa akili yake Spika bajeti ilishapita kabla hata ya kusomwa na kujadiliwa Bungeni!!! Sasa haya mambo ya IMF yenye uchambuzi wenye akili za kina Bwana Spika na Wabunge wake wa mipasho wataelewa vipi? Ngoja siku zifike tuisome namba!
utasikia maandamano ya kuuunga mkono badget, siku hizi kila tukio ni maandamano ya kuunga mkono
 
Wabongo kwa uchawi, hizo tafiti wala hamna uhakika nazo, ila kwa sababu zimetungwa na wazungu na ni habari mbaya kwa utawala, Basi watu roho zimefurahii, maroho ya kishetani.
 
kwa la bajeti mwaka huu wa fedha tuta improve hawezi kuwa sawa mwaka Jana. Let's proceed ivoivo hadi gari litakapozimikia ndio hapohapo tutashuka na vidumu kutafuta sheli.tusiogope safari
 
34% ipo wapi hapo?
Leo ni June, angalau ungetoa habari ya May. Mimi naona wewe ndiyo unaetema pumba kama mashine ya kukoboa mpunga.
Kwanza kabisa siyo sifa kutoa hela zote za bajeti. Ukipanga bajeti ya 10,000 kwa matumizi ya siku na ukatumia 6,000 siyo lazima iwe jambo baya. Unaweza kufikia lengo lilelile la 10,000 kwa kutumia 6,000. Mbona GDP inakua at the same rate?

Kwa data zilizopo kulinganisha makadirio na hali halisi mpaka April,
  • Mapato ya jumla 90%
  • Mapato ya kodi 92%
  • Matumizi ya kawaida -10.38%
  • Matumizi ya Maendeleo 57%
Sasa wewe hiyo 34% ni ya nini? Umeitoa wapi kama siyo porojo?
Huyo ni nyumbu, kila kitu hupinga. Hilo suala raisi alilielezea vizuri tu.
 
vampire123

hahahaha tena kwel. Hawa jamaa ni wanafik ucpme.
 
Ni vizuri Rais wetu anajaribu.

Tupo pamoja nae, kmbora kujaribu kuliko kutojaribu na kuogopa kisa hawa wanyonyaji wameyatamka.
 
Wabongo kwa uchawi, hizo tafiti wala hamna uhakika nazo, ila kwa sababu zimetungwa na wazungu na ni habari mbaya kwa utawala, Basi watu roho zimefurahii, maroho ya kishetani.
Hoshea kwani kuna uongo hapa huu ni ukweli 100% hata wewe wajua
 
Aliyetafsiri hio habari amekoleza chumvi mnooo. Ukweli hauko hivyo hata kdg
 
Hapo sasa, maana wengi walisema ndiyoooo na wengine kutishiwa eti wakipinga ni sawa na kukataa mgao wa fedha za maendeleo. Mimi nadhani kuwe na mabadiliko ya kimaono, pia kungekuwa na maelezo kwanza ya utekelezwaji wa bajeti tangulizi ili gung'amua changamoto mbalimbali kabla ya kuipanga na kuipitisha bajeti ya awamu mpya. Lakin kwa mfumo huu tutapata shida sana, kabda tu nao hawa IMF wawe wanatuzuga lakin kama ni kweli basi, hali ngumu sana
Kweli kabisa mkuu
 
Back
Top Bottom