Tanzania revenue forecast too optimistic, could delay projects, says IMF

Tutapata pesa za makinikia. Hao imf watuache kwani hatutaki mikopo yao ya kinyonyaji.
 
Hivi hela za Gas zinaenda wapi ?
Ujasikia Polepole na Ndugai wanadai eti watu wameelewa vibaya kwamba gesi kugunduliwa hapo hapo tutaona faida yake .wakati ukweli ni baada ya miaka 20 hivi baadae ndio faida yake ndio itaonekana .
 
Wale wanao ufahamu utendaji kazi wa "Economic Hit Man" hawatoshangazwa na hili.
Chondechonde nawaomba tu wasije kufikia hatua yao ya pili ya assassination baada ya hii ya kumshawishi mkulu kwa rushwa kushindwa.
 
Una akili sana we mjamaa
 
Una akili sana we mjamaa
Umefika wakati tupeleke fikra zetu njee ya box mkuu. Hawa jamaa hawafai hata kwa kurumangia na wapo very tactical.
Kwa akili ya kawaida tu mtu unapaswa kujiuliza "kwa nini kila kitu kinachofanywa na serikali kina feli"?
 
Wanategemea kuijazia na trilioni 108 tutakazolipwa na ACACIA!!!
 
IMF hawana taarifa kuwa serikali imeongeza vyanzo vya mapato kutoka kwa mamalishe na machinga ili tufikie lengo la Trillion 31...wawe wazalendo kwa kukubali hata visivyowezekana...
 
Inasikitisha kuona kuwa bado kuna Watanzania wanaoamini IMF inaweza kuwa mshauri anayeaminika kuwezesha mipango ya uchumi wa Tanzania kutekelezeka bila kuwapa wazungu fursa za kunyonya. Inashangaza kuona kwamba bado kuna Watanzania wenzetu wanashangilia kuendelea kuwa watumwa wa BWIs!
 
Wakenya mmemaliza kupiga kura? Don wenu Jim anasemaje? Anakula 5% tu[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji99] [emoji99] [emoji99] [emoji99] [emoji99]

Ipo inakuja, tutapiga tu na kitaeleweka. Don wetu Jim na 5% yake sio issue kuwa kama kwenu dons wanakulaga 10% halafu nyie mnaishia kufuata makinikia wakati migodini jamaa wanabeba mzima mzima.
 
Hii habari kuhusu Tanzania inapelekwa jukwaa la kenya
 
Ipo inakuja, tutapiga tu na kitaeleweka. Don wetu Jim na 5% yake sio issue kuwa kama kwenu dons wanakulaga 10% halafu nyie mnaishia kufuata makinikia wakati migodini jamaa wanabeba mzima mzima.
Imagine how corruption kills Kenya...that is just one individual....we know all...

For us we propel our boat slowly but surely....we Will reach the destination sooner than later
 
Imagine how corruption kills Kenya...that is just one individual....we know all...

For us we propel our boat slowly but surely....we Will reach the destination sooner than later

Are you talking about the same Tanzania we all know about or some nation in outer space.
Halafu middlemen in deals is a common thing, this is a phenomenon even in most developed nations.
But is a different thing when your country's minerals are taken in planeloads to unknown destinations without benefiting the citizens.
 
Are you talking about the same Tanzania we all know about or some nation in outer space.
Halafu middlemen in deals is not necessarily bad, this is a phenomenon even in most developed nations.
I see...tutachelewa sana kufika. You want a submarine...you can't buy yourself until so and so talk to the supplier? In Africa that is a recipe for disasters
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…