Tanzania revenue forecast too optimistic, could delay projects, says IMF

Hehehe Naona mumepata ujasiri wa kutoa comments, haya changieni msiwe mnapita kimya.
Ntapitaje kimya kwenye uzi kama huu kwa mfano! Majibu mmepata mkatosheka!

Haya tafuteni habari nyingine ya Tanzania kutoka media zenu mlete tujibu, maana siku hizi media za Kenya zimejaa habari za Tanzania kuliko hata za Kenya[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Now this is the start! keep in mind that the owner of barrick and acacia are the largest share holder in WB AND IMF."Kwa hili! Kwa hili MTANIAMBIA"-TUNDU LISU VOICE!
 
Hehehehe!! Majibu gani maana sijaona hata moja zaidi ya mipasho ambayo tulishayazoea, wacha kukwepa changia.
 
Now this is the start! keep in mind that the owner of barrick and acacia are the largest share holder in WB AND IMF."Kwa hili! Kwa hili MTANIAMBIA"-TUNDU LISU VOICE!
They can do whatever they like to do, the fact remains we what our money back.
 
Hii Serikali inatudanganya sana kwa mfano bajeti ya 2016/2017 tuliambiwa ni 29 trillions lakini zilizotolewa ni 34% tu. Sasa kama bajeti ya 29 trilioni inagomba hiyo ya 32 trillions 2017/2018 itawezekana kweli!?
Siyo kweli
 
Wewe kwa kuandika pumba ndiyo mwenyewe humu. Siku zote huandika pumba na kutetea hawa mafisadi. Hii ilikuwa ni October 2016 na kadri mwaka ulivyozidi kuendelea pesa zilitolewa zilizidi kupungua kila mwezi, lakini hii Serikali iliyojaa wasema uongo iko kimya kabisa.

Thursday, December 29, 2016
Development expenditure struggles

development_1.jpg

In Summary
Development expenditure for October was set at Sh713.7 billion, financed by local and foreign resources, but only Sh380.2 billion, or 53.27 per cent, was released.

By Alawi Masare @AMasare malawi@tz.nationmedia.com

Dar es Salaam. The government is still facing a tough time implementing its budget as it misses both revenue collection and development expenditure targets.

It was expected that international development partners would have pumped in Sh276.2 billion, but only Sh45.2 billion was released during the month, according to the Bank of Tanzania’s monthly economic review released yesterday.

The government released Sh335 billion of the Sh437.5 billion that was to have been sourced locally for development expenditure.

During the period under review, total government expenditure was Sh1.35 trillion, out of which recurrent expenditure was Sh969 billion, and development expenditure Sh380.2 billion, according to the report.

Revenue collection amounted to Sh1.24 trillion, which was 83.8 per cent of the target. Tax revenue collected was Sh1.11 trillion, 15.9 per cent higher than the collection during the corresponding period in 2015, but 93.1 per cent of the target.

Local government collections from own sources totalled Sh35.5 billion against the projected Sh55.5 billion.

Forty per cent of the government’s Sh29.5 trillion budget for 2016/17 has been set aside for development expenditure.

Only 26.6 per cent of the development budget for September was released, while domestic revenue collection was 16 per cent short of target.

The current account balance recorded a deficit of $1.84 billion in the year ending October 2016 compared with $4.79 billion registered in the preceding year. The shortfall was mainly attributed to a decrease in imports of goods and services coupled with an increase in exports.

The value of exports was $9.47 billion, being 7.5 per cent higher than the sum recorded in the corresponding period in 2015.

“This development was attributed to good performance in exports of traditional commodities, gold as well as increase in travel receipts,” the BoT report says.

Tourism is still the leading foreign exchange earner, having generated $2.2 billion during the year under review followed by gold at $1.39 billion and manufactured goods, which brought in $1.25 billion.

The value of traditional exports, which include tobacco, cashew nuts, tea, cotton, cloves, coffee and sisal, amounted to $850 million during the year.

The value of imports of totalled $10.69 billion in October compared with $13.23 million recorded in the corresponding month in 2015, the report shows.

With the exception of oil and industrial raw materials, all other categories of imports recorded a decline.

The decline in imports was partly attributed to exchange rate depreciation, particularly due to demand for consumer goods and completion of major projects such as cement factories, power plants and exploration activities. During the period, oil imports increased by 1.7 per cent to $2.97 billion, largely driven by an increase in volumes.

The prices of crude oil and white petroleum products declined mainly due to a rise in supply from Opec member countries.

National debt

Tanzania’s external debt stock reached $16.4 billion as at the end of October, being an increase of $7.8 million from the amount recorded during the preceding month.

On an annual basis, the stock of debt was $1.03 billion higher than the amount recorded at the end of the corresponding period in 2015 mainly due to new disbursements.

34% ipo wapi hapo?
Leo ni June, angalau ungetoa habari ya May. Mimi naona wewe ndiyo unaetema pumba kama mashine ya kukoboa mpunga.
Kwanza kabisa siyo sifa kutoa hela zote za bajeti. Ukipanga bajeti ya 10,000 kwa matumizi ya siku na ukatumia 6,000 siyo lazima iwe jambo baya. Unaweza kufikia lengo lilelile la 10,000 kwa kutumia 6,000. Mbona GDP inakua at the same rate?

Kwa data zilizopo kulinganisha makadirio na hali halisi mpaka April,
  • Mapato ya jumla 90%
  • Mapato ya kodi 92%
  • Matumizi ya kawaida -10.38%
  • Matumizi ya Maendeleo 57%
Sasa wewe hiyo 34% ni ya nini? Umeitoa wapi kama siyo porojo?
 
Shirika la Fedha Ulimwenguni(IMF) limedai kwamba bajeti ya Tanzania ya Trilioni 31 ni "changa la macho" na kwamba Tanzania haina vyanzo vya fedha kukusanya mapato yanayofikia trilioni 31

Kwa maana hiyo shirika hilo linasema watanzania tumepewa matumaini yaliyopita kuliko cha uwezo wetu!

Binafsi ninaona kuna ukweli asilimia kubwa sana,ukiangalia bajeti ya mwaka 2016/2017 ilitekelezwa kwa asilimia 38,ikashindwa kutekelezwa kwa asilimia 62

Bajeti ya 2016/2017 ilikuwa trilioni 29, lakini pesa iliyotoka ni trilioni 15,bajeti ya mwaka huu 2017/2018 ni trilioni 31,sasa kama ya mwaka 2016/2017 ilitushinda kufikia hata nusu,tulikuwa na vigezo vipi vya kuipandisha bajeti yetu mpaka ifikie trilioni 31?
IMG_20170628_042246.png
IMG_20170628_042343.png
IMG_20170628_042457.png

Yaani tulishindwa hata kuikaribia nusu!

Sasa tumeongeza makadirio ya bajeti mpaka trilioni 31 wakati vyanzo vya mapato ni vilevile,na serikali inasema kumekuwa na wimbi la kufunga biashara,makampuni yanapunguza wafanyakazi

Mapato watayakusanya kutoka wapi!???

IMF ndio moja kati ya mashirika makubwa yanayoongoza na kutoa mwelekeo wa uchumi wa dunia,lakini wanakiri kwamba bajeti yetu ni "changa la macho"
 
IMF wapo sahihi kabisa. Bajeti ya TZ ni ya kishabiki mno kuliko uhalisia. Ukiona bajeti inapigiwa makofi na wale jamaa waliopitisha mikataba ya madini kwa hati ya dharura na sasa inawarudi kwa aibu kubwa lakini bado hawaoni kosa na wanaendelea kuleta ushabiki wa kitchen party ndani ya Bunge hilohilo, basi jua kwa uhakika kuwa HAKUNA KITU hapo.

Isitoshe, bajeti inapopongezwa na Spika mpiga bakora wagombea wenzie kwa kushindwa kutoa hoja zenye mashiko, atawezaje kutoa hoja kwenye kitu kigumu kinachohitaji akili kama Bajeti? Ataishia kusema tu "....kuna haja ya Waziri wa Fedha kuendelea kusoma bajeti hii?" .

Kwa akili yake Spika bajeti ilishapita kabla hata ya kusomwa na kujadiliwa Bungeni!!! Sasa haya mambo ya IMF yenye uchambuzi wenye akili za kina Bwana Spika na Wabunge wake wa mipasho wataelewa vipi? Ngoja siku zifike tuisome namba!
 
IMF wapo sahihi kabisa. Bajeti ya TZ ni ya kishabiki mno kuliko uhalisia. Ukiona bajeti inapigiwa makofi na wale jamaa waliopitisha mikataba ya madini kwa hati ya dharura na sasa inawarudi kwa aibu kubwa lakini bado hawaoni kosa na wanaendelea kuleta ushabiki wa kitchen party ndani ya Bunge hilohilo, basi jua kwa uhakika kuwa HAKUNA KITU hapo. Isitoshe, bajeti inapopongezwa na Spika mpiga bakora wagombea wenzie kwa kushindwa kutoa hoja zenye mashiko, atawezaje kutoa hoja kwenye kitu kigumu kinachohitaji akili kama Bajeti? Ataishia kusema tu "....kuna haja ya Waziri wa Fedha kuendelea kusoma bajeti hii?" . Kwa akili yake Spika bajeti ilishapita kabla hata ya kusomwa na kujadiliwa Bungeni!!! Sasa haya mambo ya IMF yenye uchambuzi wenye akili za kina Bwana Spika na Wabunge wake wa mipasho wataelewa vipi? Ngoja siku zifike tuisome namba!
Mwaka huu hali inaweza kuwa mbaya zaidi
 
Back
Top Bottom