MK254
JF-Expert Member
- May 11, 2013
- 32,408
- 50,809
I see...tutachelewa sana kufika. You want a submarine...you can't buy yourself until so and so talk to the supplier? In Africa that is a recipe for disasters
Bro naona una ulimbukeni kwenye ulimwengu wa wachapa dili, wapo hadi ulaya. Watu wanaozunguka zunguka na mikoba na kuongea ongea sana, wanajua kila aina ya hesabu za serikali na kijeshi. Takwimu zote wapo nazo mikononi, viwanda vyote wanavijua na kila moja wanajua jinsi ya ku-negotiate nao.
Wapo hata Marekani kwenye biashara ya silaha hata mambo ya kinyuklia na mafuta sembuse kwenye viinchi vyetu hivi vya wapasua matofali.