Tanzania Royal Tour ilivyoudumaza utalii wa Kenya

Wageni wote wanaokuja Tanzania na Zanzibar tayari walishafanya maandalizi mapema na kufanya bookings zao, pengine miezi hata minne au sita au mwaka before kuja, na muda huu ndiyo high season (June-July), hiki ni kipindi cha wageni wengi (kwa waliopo kwenye sekta ya utalii watakuwa wanaelewa), kuja kwao sasa siyo impact ya royal tour, watu walisha-plan hata kabla Peter hajafika Tanzania kwa ajili ya Royal Tour.!
 
Ni wazi kuwa haujui watalii hupangaje safari zao, unadhani akiona filamu leo kesho anakwenda huko alikokusikia! Hakuna utalii wa aina hiyo ni wajinga tu wanapumbazwa na matapeli wa CCM.
 
Mleta mada mm naamini hujui unachoandika au imejawa na kujipendekeza na uchawa pro.
Any way ngoja nikueleze kwa uchache sana.
Royal tour imekuwa released mwezi Aprili 2022.

Hao watalii wa nje unao waona wamekuja au wanaokuja katika miezi hii miwili hadi mwishoni mwa mwaka huu walifanya maandalizi ya safari zao tangu 2021.

Unajua mtu anavyosafiri kwenye mapumziko nje ya nchi lazima ajiandae kwa ratiba yake ya kazi kuomba ruhusa makazini kwao,kuwa na pesa za kutosha,kuchagua wapi anataka kwenda halikadhalika afanye bookings za ndege hoteli na activities.

Sasa ww unavyodhani mwezi wa nne baada ya released ya Royal tour immediately mtu kachukua begi na kuja Tanzania?

Kumbuka watalii hupanga na kubook safari zao mapema zaidi ya mwaka mmoja na wale wa last minute sio chini ya miezi miwili/mitatu kabla ya kusafiri.

Njoo tukufundishe namna watalii wanavyosafiri na kuja Tz,usidhani wanakurupuka kama vile wanakwenda msibani.

Acha uchawa andika facts.
 
Acha urongo unaongea kitu ambacho hakipo,watalii waliokuja ni wale waliofanya booking kipindi cha covid hawakuja...mtu anafanya booking yake miezi 6 au zaidi kabla ya kuja...labda hiyo royal tour itakua imeleta watalii kutoka kazimkazi zanzibar
 
Here we vipi hadi sasa hujui? We ni Mkunya nini?

Ukipunguza chuki utayaona [emoji116]
Hizo ni porojo za msigwa na bibi wa kazimkazi,wao muda wote propoganda za uwongo....mara uchumi wa kati,mara tumelipwa mabilioni ya dola na barrick,wageni waliokuja ni wale waliofanya booking kabla ya covid,hakunaga booking ya watalii ya kufanya miezi miwili kabla hawajaja kama vile wanafanya ya atcl kwenda chato burigi
 
Asipokuelewa hapa, akili yake itakuwa imekaa kichawa zaidi
 
Ukweli uko wapi? Lazima muaibike
 
Leo nimemsikia radioni. Habbert .survivor wa Manchester Arena bombing akihojiwa .ni.baada ya kuwa na kilema cha maisha kwa kuumia uti wa mgongo na sasa kapanda mlima akiwa kwenye wheelchair na ameweza kuchangisha nusu ya target yake ya ku hangisha pound million moja kwa association ya wahanga wa uti wa mgongo .
Nimemsikia akisifia watanzania kuwa na big smile .so tuhamasishane kuongeza smile watakuja , hasa wale ndg wa kimasai tusiwakwaze mpaka wakapoteza big smile linalosifika kila pembe ya dunia
 
Kwanini mnatumia picha za Mwaka 2018 ziwasaidie nini sasa.
Tupe za huu mwaka basi ...huo mwaka unaosema 2018 tz ilikuwa chini ya mikono salama ya jpm hayo hatukuyasikia ya wananchi wanyonge kufanyiwa ushenzi na ccm
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…