Mohamedex121
JF-Expert Member
- Jan 27, 2022
- 1,725
- 3,271
- Thread starter
-
- #21
Sio gundu bali ndio uongozi mbovu ndio ulipowafikisha hapo. Awachezi soka la kuvutia pamoja na manajement mbovu..Kama kweli basi 'mto unaopita Jangwani' wana Gundu, maana mbona wao hawali shavu
Mnakaribishwa yangaAmin amin nawaambia, sijui tutaficha wapi nyuso zetu siye
Yanga timu kubwa....Timu ya wananchi.
Simba wahuni wengi
Hongera sana Yanga
Hahahahaha wametoa uniformKwenye hayo ma jezi yenu ya ilimradi msikae uchi..[emoji1787]
Yanga timu kubwa afrika mashariki nafasi ya tatu afrika lazima ale shavu la wadhaminiYanga amekua sasa
HAIER Bado yupo sana yangaHayo maandishi ya MAZIMO ndio ma nini? Wale wachina wa HAIER wameshindwana mapema hivi? Du ila mashabiki tunakazi, maandishi yoyote yatakayobandikwa tunanunua
Yanga Daima mbele Nyuma mwiko[emoji169]Kila laheri chama la ushindi [emoji172][emoji169]
#5imbawamepoteana
Sportpesa ni main sponsor wa Yanga na HAIER bado yupo kwenye orodha ya wadhamini ila sio main sponsor na kwenye jezi ya Yanga ya mashindano ya ndani yupo nyuma ya jezi.Mashindano ya ndani ni mkataba wa sportpesa
ngoja tufikirie, mbana kama upepo kubadilika umebadilika aisee, kuanzia uwanjani mpaka nje ya uwanja, hakuna tunachofanya kikaonekana cha maana.Mnakaribishwa yanga
Kabisa yaani maana mtu unajiuliza hupati jibu kwanini inakuwa hivyoYule mwekezaji wao nahisi sio mtu mzuri!, nafikiri anamambo yake ndio maana inakuwa ni kikwazo hata kwa wengine kupenyeza mkono waweke lupia!
Nyuma MwikoYanga Daima mbele Nyuma mwiko[emoji169]
Kaka unaweza kutuambia huo mkataba ni wa thamani gani?Yanga yapata shavu kwa TANAPA kuwa mdhamini wa mashindano ya kimataifa. Baada jezi zao kuonekana kwa maandishi ya " TANZANIA ROYAL TOURSView attachment 2821770
Hahahaa! Kwahiyo zile 5 za kina okwi ni changa la macho?Hutujui sisi wewe kumbe!!
Tutakuja na kakipande ka gazeti ka mwaka 1924 kameandikwa Simba yaigalagaza Yanga 6-1 ndio tutakomaa nako balaaaa
Unashindwa kujiongeza raisi mwenyewe ni yanga unataka simba I shine kipindi chake wakati unaona kabisa raisi anavyojitoa kwenye matukio ya yanga.Kama kweli basi 'mto unaopita Jangwani' wana Gundu, maana mbona wao hawali shavu
Poor reasoningUnashindwa kujiongeza raisi mwenyewe ni yanga unataka simba I shine kipindi chake wakati unaona kabisa raisi anavyojitoa kwenye matukio ya yanga.