Mohamedex121
JF-Expert Member
- Jan 27, 2022
- 1,725
- 3,271
- Thread starter
- #21
Sio gundu bali ndio uongozi mbovu ndio ulipowafikisha hapo. Awachezi soka la kuvutia pamoja na manajement mbovu..Kama kweli basi 'mto unaopita Jangwani' wana Gundu, maana mbona wao hawali shavu