Damaso
JF-Expert Member
- Jul 18, 2018
- 3,978
- 6,739
Nilikuwa Naangalia Makala Ya Utalii Kwenye Tanzania Safari Chanel, Wakawa Wanasimulia Kwamba Mlima Kilimanjaro Umeanzishwa Mwaka 1973. Nikajiuliza Kwani Kabla Ya Mwaka 1973 Hakukuwa Na Mlima Kilimanjaro Mpaka Uanzishwe Mwaka 1973?
Kwa Uelewa Wangu Mlima Huu Ulikuwepo Tangu Kuumbwa Kwa Dunia Maana Ni Kazi Ya Mungu Mwenyewe Sasa Huo Mwaka 1973 Umeanzishwa Na Nani?
Labda Wangetuambia Kwamba Jina La Kilimanjaro Lilianza Kutumika 1973 Lakini Sio Mlima Umeanzishwa Mwaka 1973, Hii Ndio Ile Ya Kusema Ziwa Victoria Limegunduliwa Na Mzungu Wakati Kaja Kawakuta Wasukuma Wanatumia Kwa Shughuli Zao.