Tanzania sasa iitwe TanChina au United Arab Emirates of OmanTan.

The Father of All

JF-Expert Member
Joined
Feb 26, 2012
Posts
11,099
Reaction score
13,709


Kwa uchukuaji, sorry, uwekezaji huu,

Tanzania si yetu tena bali yao.

Kila kitu ni chao na hata sisi ni wao.

Sisi ndiyo waliowao

Samia kafungua nchi kwa wachukuaji.

Kila kitu kiko sokoni na bei ni bwerere.

Nani atatuokoa na balaa hili la kujitakia?

Hiyo ndiyo Tanzania ya Samia.
Tunaangamia.
 
Unataka kusema nini ?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…